Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
kumbe hujajua kwanini cc chadema tunamwomba Mungu,this is becoz chama che2 ni cha kanisa, na ndiyo maana kwenye mikutano ye2 ha2kosi maaskofu wawili wa3.
kama ilivyo cuf na mnyazi mungu.
sunday school nilifundishwa Mungu yup mmoja ila mungu ndio wapo wengi
Mungu wa utatu akusamehe kwa uchafu huu uliouandikaMungu ni kichaka cha wazembe na wanaotaka ku manipulate wenzao.
Mbona huyu mungu wa Chadema kakubali Lema kuvuliwa ubunge inanipa tabu kidogo kuleta ulokole kwenye mambo ya siasa.
Ni fitna tu za wale wa nyota na mwezi. Lakini kamwe hawataweza
Unamjua "Mungu" wanaomtaja chadema ? unafahamu kuna "Mungu" wengi?
Hivi kweli Mungu aliyeumba mbingu na ardhi unaweza kumshinda kwa fitina? Au Jaji Gabriel Rwakibarila ana nguvu kuzidi mungu?
Mbona huyu mungu wa Chadema kakubali Lema kuvuliwa ubunge inanipa tabu kidogo kuleta ulokole kwenye mambo ya siasa.
Shetani ameruhusiwa kuwapepeta kama vile mtu apepetavyo ngano yake........ Judge ni wakala wa shetani, anayo ruksa ya kujaribu, sasa ndio ataona kati ya mungu wake na Mungu wa kweli nani zaidi
Hapa ndipo kila mara Chadema huwa wanakosea wanapojifananisha kwa kila jambo na Marekani. Kumbukeni Marekani ni Taifa la kikriso, most of their citizens ni chritians na kuna jews wachache. Tanzania ni nchi yenye less than 50% ya Christian. Kwahiyo CDM kwenye siasa zake iangalie inadeal na watu wa aina gani. Kama imeamua kuwa target yao ni hiyo less than 50% ya christian its ok, but kama inataka kuwa na nguvu ya wananchi wote inabidi viongozi wake wabadilikekuelewa nako linatakiwa liwe ni somo jipya, me nadhani labda wanataka MUNGU awaonee huruma, kitu ambacho si kibaya hata kidogo, kwani hata na Wamarekani ambao ni mfano wa waliofanikiwa wameandika kabisa kwenye nembo ya taifa lao kuwa "IN GOD WE TRUST", pia katika wimbo wetu wa taifa tunasema "MUNGU IBARIKI AFRIKA...., MUNGU IBARIKI TANZANIA...", hivyo kama ni huruma ya MUNGU, wacha waitafute tu.
Wanataka wananchi wawaonee huruma...hizi njaa ni mbaya sana!
Mtabakia hivyohivyo huku Chadema inasonga mbele nyie mtabaki na matusiyenu na waganga wakienyeji wakina Long water
Tukianza kutaja profession za viongoz wa CDM hapa hapatatoshaUnataka kumhodhi Mungu. Wacha roho mbaya, Kila mtu ana haki ya kuabudu na kutaja anachoamini. Mbona nyie mna Maji marefu na kamati za ufundi. Hata kuonewa huruma ni uungwana. Unataka wawachukie kama nyie.
Ndio unalifahamu hili leo??heh! kumbe Rejao ni PREMIUM MEMBER?
Unataka wakutaje wewe nini? I know its so pity kuona kwamba kuna changes zinakuja and u are not the part of it.Kwa siku za karibun, Nimekuwa nikifuatilia kwa umakin sana maneno yanayozungumzwa na viongozi wa Chadema kwenye mikutano na kugundua kuwa wamekuwa wakimtaja Mungu mara kwa mara.wanaonekana kutuaminisha kuwa kila wanachofanya wanatumia nguvu za mungu.Mungu hatumiwi kwa namna hiyo.MUNGU ANA MAHALI PAKE PA KUMTAJA TAJA.Itafika wakati mtu akiruhusu kuwa tegemiz sana kwa Mungu hukosa uwezo wa kujituma ktk kufanikisha jambo eti Mungu hajamjalia.Mungu husingiziwa kwa kila dosari au mafanikio.nashauri ktk majukwaa Mungu asitajwe kihivyo na chadema.tuige mfano wa MWALIMU NYERERE alikuwa mhudhuriaji sana ibada lakini ktk majukwaa ya kisiasa hakumtaja Mungu.
Hata mimi inanipa tabu kuona kwamba unaringanisha ulokole, mungu na siasa. U go first,,,,,,then ukieleweka ntakuelewesha.Mbona huyu mungu wa Chadema kakubali Lema kuvuliwa ubunge inanipa tabu kidogo kuleta ulokole kwenye mambo ya siasa.
Wanataka wananchi wawaonee huruma...hizi njaa ni mbaya sana!
Hata mimi inanipa tabu kuona kwamba unaringanisha ulokole, mungu na siasa. U go first,,,,,,then ukieleweka ntakuelewesha.