Chimbekeha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2018
- 1,193
- 2,177
Ngoja nianzie mbali kidogo kwa mujibu wa SAYANSI, kuna viumbe hai ambao wamegawanyika katika makundi mawiliKunguru ni ndege sio mnyama.mimi nazungumzia wanyama.
Bora ww umewasaidia. arlafat njoo upate ufafanuzi mwingine tena hapaNgoja nianzie mbali kidogo kwa mujibu wa SAYANSI, kuna viumbe hai ambao wamegawanyika katika makundi mawili
1.wanyama
2.mimea
1.wanyama wakagawanyika katika makundi matano;
-mamalia
-reptilia
-ndege
-amfibia
-minyoo
Pia katika mimea nako vile vile wakuu kuna mgawanyo
Mimi mtu akisema "kunguru ni mnyama" wala simkatalii swali fupi tu muulize KWANINI? then pima hoja na maelezo yakeBora ww umewasaidia. arlafat njoo upate ufafanuzi mwingine tena hapa
Mamalia anahusika Sana hapa.Ngoja nianzie mbali kidogo kwa mujibu wa SAYANSI, kuna viumbe hai ambao wamegawanyika katika makundi mawili
1.wanyama
2.mimea
1.wanyama wakagawanyika katika makundi matano;
-mamalia
-reptilia
-ndege
-amfibia
-minyoo
Pia katika mimea nako vile vile wakuu kuna mgawanyo
Makundi yote ni ya wanyama hakuna cha mamalia wala babalia kuhusika sana hicho kitu hakipo**Mamalia anahusika Sana hapa.
Sababu zipo mfano likaekwa buffet ya vyakula tofauti , na upande mwengine chakula kimoja tu utakwenda wapi?Ndio maana dini ya kiisilamu ikaruhusu kuoa wanne ndio hilo buffet.Hata sababu hakunaga mkuu wangu! Yani unajikuta tu umesaliti....!!! Ila wengi wetu hatuna sababu ni uroho tu
[emoji419][emoji419]Na tusio cheat tunacomment wap?
Ndege wote mfumo wa kasuku mfano macaws wanaform bond za milele.Wanyama wote huwa hawana mpenzi wa kudumu.binadamu ni myama pia,ila kajiongeza.ndiomaana twateseka.ni nature@ holy holm
Kunguru ni mnyama. Tofautisha kati ya animals na mammals. Ata nyuki ni mnyama.Kunguru ni ndege sio mnyama.mimi nazungumzia wanyama.
Njiwa piaUnamfaham kunguru? Ama yeye ni mti?
No research no right to speak
Nyegere pia huwa na mke mmoja tu
Tatizo unalazmisha uonekane mjuaji sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Angeniacha kwanza twende pole pole kwanini kamwaga mchele kwenye kuku wengi
Sio kunguru, kuna mifano mingi tu ya viumbe/wanyama wenye mpenzi mmoja mpaka kufa bila kuchepuka nikawataja hapa atashangaa wana bond matata sana.Unamfaham kunguru? Ama yeye ni mti?
No research no right to speak
Nafikiri ni nature tu ya binadamu wote, na hatujaanza sisi tu kuchepuka. Ni vizazi na vizazi hata B.C hii tabia ilkuepo.Mkuu tamaa tu za kutaka kubadili mboga zinafanya tu cheat, sababu zengine ni ndogo ndogo sana hazina mashiko
Kunguru ni ndegeUnamfaham kunguru? Ama yeye ni mti?
No research no right to speak