Unamfaham kunguru? Ama yeye ni mti?Wanyama wote huwa hawana mpenzi wa kudumu.binadamu ni myama pia,ila kajiongeza.ndiomaana twateseka.ni nature@ holy holm
Ni nn kwan?[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hasa kunguru ni mnyama mkuu daah
Kunguru ni ndege[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Hasa kunguru ni mnyama mkuu daah
Hata sababu hakunaga mkuu wangu! Yani unajikuta tu umesaliti....!!! Ila wengi wetu hatuna sababu ni uroho tuWengi wetu tunatamani kutulia na mwenzio yaan wapeke ako katika mahusiano/mapenzi.
Ni kitu gani kinakufanya uchepuke au kucheat?
Tupia sababu
Kunguru ni ndege sio mnyama.mimi nazungumzia wanyama.Unamfaham kunguru? Ama yeye ni mti?
No research no right to speak
Ndege ni category iliyomo ndani ya wanyama (kisayansi)Kunguru ni ndege sio mnyama.mimi nazungumzia wanyama.
We sayansi ilikupiga chiniKuna mtu huko juu karopoka aisee nimecheka sana na kamalilizia na kizungu kabisa (no research no rights to speak)
Ndege ni category iliyomo ndani ya wanyama (kisayansi)
Ila ata hvyo ni sawa
Nahis umepata jibuKama ulivyo sema mwenyewe
No research no rights to speak(mimi pia sijui kunguru ni nini)
Ficha ujinga nduguKuna mtu huko juu karopoka aisee nimecheka sana na kamalilizia na kizungu kabisa (no research no rights to speak)