Je kwa sasa kuna hali ya hatari?

Je kwa sasa kuna hali ya hatari?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,228
Reaction score
68,247
Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa mazoezi na vitisho vya Majeshi yetu kwa raia wake.

Kwa waliopo Dar, Ndege za kivita za jeshi zimekuwa zikirandaranda katika anga hilo japo sio sana.

Pia Askari wa Jeshi la Polisi hasa kikosi cha FFU hawa ndio wamekuwa watoaji vitisho kwa raia, kwani imefikia hatua wanapost kwenye mitandao ya kijamii mazoezi yao ambayo kwakiasi fulani imezua hali ya taharuki kwa sisi raia tusiofahamu nini kinaendelea.
Je kuna hali ya hatari Tanzania?

Juhudi hizi za majeshi yetu zingefanyika kwenye kupambana na ujambazi leo hii tungekuwa kama Uswizi hakika tungelala milango wazi.

Ni muda muafaka sasa wa kuelezwa na Viongozi wetu hali ya Usalama hapa nchini sio kutumia vitisho vya picha kama ambavyo zinavyozagaa mitandaoni.

uploadfromtaptalk1471787129164.png
uploadfromtaptalk1471787143375.png
uploadfromtaptalk1471787160569.jpeg
 
tutaona itakuaje kwan askari 150 dhidi ya waandamanaji milioni 1 kweli hii ni sinema nyingine inakuja
 
Askari nao wanajitutumua pasipo kufahamu wao ni miongoni wanaosemeshwa namba.

Ujinga wa kiwango cha mbali sana.
 
tutaona itakuaje kwan askari 150 dhidi ya waandamanaji milioni 1 kweli hii ni sinema nyingine inakuja
ndIO MAANA TUNASEMA HAYA NI MADHARA YA KUMWAZIMA MBOWE AKILI ZAKO.....hao waandamanaji millioni moja UMEWAONA WAPI????
 
Back
Top Bottom