elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
<br />Amfunike mara ngapi tena, ana like 90% of desktop market. Hii design mpya ni kwa ajili ya touch zaidi, Windows Tablets etc.
Si siku hizi tu, tangia zamani, OS za Apple zipo imara sana, na graphics zake ni bora zaidi ya microsoft.... Na ndio maana ni ghali....Halafu king kwanini siku hizi studio za muzk, movies na hata graphics wana prefer zaidi kutumia comp za mac? Does it mean mac os is better than windows
<br />Si siku hizi tu, tangia zamani, OS za Apple zipo imara sana, na graphics zake ni bora zaidi ya microsoft.... Na ndio maana ni ghali.
<br />
<br />
King mimi si mtaalam sana wa hizi mambo lakini as far as I know windows ni third party os, yani imetengenezwa kutumika in different comps and tablets. Lakini apple ye anatengeneza comps, simu na ipod zake zikiwa na os zake pia so ye hauzi os zake kwa makampuni may be hiyo ndo sababu windows kateka soko kwakuwa makampuni mengi yanatengeneza comps na vifaa vingine lakini os wanategemea from microsoft. Halafu king kwanini siku hizi studio za muzk, movies na hata graphics wana prefer zaidi kutumia comp za mac? Does it mean mac os is better than windows
If you believe in quality, Mac is the answer.
No viruses kwahiyo hakuna haja ya kutumia antvirus software na kufanya komputer kuwa slow kwa sababu ya kukukinga na mavairus. mac system is more stable haicrashi kama windows. ukiwana windows hata kama komputer yako ni zaidi ya $2500 bado tu itakuwa inacrashi mara kazaa kwa wiki. Uzoefu wa hii tabia ya windows mimi nimeuchoka kutoka kwa sony na hp nilikuwa nanunua top of the range na bado zina crashi kama kacompact laptop kabei raisi kabisa. sasa hivi my mac book pro never crush on me na inawaka maramoja nikiifungua na inazima maramoja nikiifunga. hakuna komputer laptop ya windows inafanya kazi hivi kama unajua moja niambie nijaribu. uzoefu wangu wa windows nikama ina run efficient only antvirus systems hakuna kingine kinacho run smooth kama uamini jaribu kutumia mac mwenyewe utaona jinsi windows wasivyowajali wateja wao na kuboresha huduma
And from this context what do we mean by Quality.? Does expensive mean high quality and cheap mean low quality?. I dont belive so but I wuld like to hear and read your views
What about things like performance,usability,maintanace, accesiblity, support, training, compatibility, etc.
Is quality uniform to specific criterion to each and every individual or it depend on factor one or organisation put in consideration ?
Binasfi sijawai kutumiam MAC sasa nitapenda wale walitumia wataje kwa uzoefu wao those specific qualities na hata quntities amabzo mac inazo over windows
No viruses kwahiyo hakuna haja ya kutumia antvirus software na kufanya komputer kuwa slow kwa sababu ya kukukinga na mavairus. mac system is more stable haicrashi kama windows.
ukiwa na windows hata kama komputer yako ni zaidi ya $2500 bado tu itakuwa inacrashi mara kazaa kwa wiki. Uzoefu wa hii tabia ya windows mimi nimeuchoka kutoka kwa sony na hp nilikuwa nanunua top of the range na bado zina crashi kama kacompact laptop kabei raisi kabisa. sasa hivi my mac book pro never crush on me na inawaka maramoja nikiifungua na inazima maramoja nikiifunga. hakuna komputer laptop ya windows inafanya kazi hivi kama unajua moja niambie nijaribu.
uzoefu wangu wa windows nikama ina run efficient only antvirus systems hakuna kingine kinacho run smooth kama uamini jaribu kutumia mac mwenyewe utaona jinsi windows wasivyowajali wateja wao na kuboresha huduma
microsoft kwa mikaka kama mitano hivi au kumi hawawezi kuwa sawa na level ya mac katika innovation na user friendly ya kumputer. Kama uamini angalia jana tuu mjenga computer mkubwa duniani amejitoa katika kujenga kumpute ameshindwa "HP" na ile table computer yao iliyokuwa wameshaipunguza bei maradufu sasa waweza pata kwa dola 100 nadhani mwezi ujao zitakuwa kama $50 na hizo ziliundwa kwa gharama kama ya $500 angalia hiyo asara. I feel sorry kwa wale wapenzi wa hp damu damu hakuna tena computer kutoka kwa hawa jamaa siku za usoni. Huyo ni apple amewafanya wamwage manyanga tuombe Mungu microsoft wasifikie hapo.Haya microsoft kama mnavyojua wao ni watengeneza operating system "OS" changamoto wanayopata kutoka kwa mac wao wanaunda kumputer zao wenyewe na wanaweka os yao wenyewe kwahiyo quality inakuwa maradufu. windows tatizo zinauza licence kwa makampuni tofauti na quality inaenda chini inategemea na kiasi gani mnunuzi anaweza nunua. kwahiyo zile kianzio computer ambazo ni cheap mara nyingi hovyo lakini kwavile zinawawezesha watuwengi kufanyia kazi wanazoea. Ukitumia mac hutataka tena kutumia kitu kinaitwa windos os.
Kama hii ndiyo definition yako ya Quality then Linux kama Fedora, Mint, Ubuntu,Debian au Suse ni bora kuliko Mac kwa kuwa zina sifa zote hizo plus gharama ni 0$No viruses kwahiyo hakuna haja ya kutumia antvirus software na kufanya komputer kuwa slow kwa sababu ya kukukinga na mavairus. mac system is more stable haicrashi kama windows. ukiwana windows hata kama komputer yako ni zaidi ya $2500 bado tu itakuwa inacrashi mara kazaa kwa wiki. Uzoefu wa hii tabia ya windows mimi nimeuchoka kutoka kwa sony na hp nilikuwa nanunua top of the range na bado zina crashi kama kacompact laptop kabei raisi kabisa. sasa hivi my mac book pro never crush on me na inawaka maramoja nikiifungua na inazima maramoja nikiifunga. hakuna komputer laptop ya windows inafanya kazi hivi kama unajua moja niambie nijaribu. uzoefu wangu wa windows nikama ina run efficient only antvirus systems hakuna kingine kinacho run smooth kama uamini jaribu kutumia mac mwenyewe utaona jinsi windows wasivyowajali wateja wao na kuboresha huduma
Aya wanandugu shukrani kwa knowledge zenu pana...ila wote mpo out of point...mada ni windows 8 na akuna hata alieigusia....turudini hapa kwenye windowz8..kama kuna alieitumia atuambie experience yake ikoje juu ya hiyo oS
Kama hii ndiyo definition yako ya Quality then Linux kama Fedora, Mint, Ubuntu,Debian au Suse ni bora kuliko Mac kwa kuwa zina sifa zote hizo plus gharama ni 0$
No viruses kwahiyo hakuna haja ya kutumia antvirus software na kufanya komputer kuwa slow kwa sababu ya kukukinga na mavairus. mac system is more stable haicrashi kama windows. ukiwana windows hata kama komputer yako ni zaidi ya $2500 bado tu itakuwa inacrashi mara kazaa kwa wiki. Uzoefu wa hii tabia ya windows mimi nimeuchoka kutoka kwa sony na hp nilikuwa nanunua top of the range na bado zina crashi kama kacompact laptop kabei raisi kabisa. sasa hivi my mac book pro never crush on me na inawaka maramoja nikiifungua na inazima maramoja nikiifunga. hakuna komputer laptop ya windows inafanya kazi hivi kama unajua moja niambie nijaribu. uzoefu wangu wa windows nikama ina run efficient only antvirus systems hakuna kingine kinacho run smooth kama uamini jaribu kutumia mac mwenyewe utaona jinsi windows wasivyowajali wateja wao na kuboresha huduma
nilikuwa natoa mfano too Apple wamewaondoa haw a jamaa ukumbini wa tablet kwa kukosa ubunifi sasa hizo korokoro zao wanagawa sawa na bureTablet ya HP ilikua inatumia OS yao wenyewe WebOS, sio Windows.