asante Saint kwa kuwakumbusha hawa wenye chicken vission; kama "mashigulu mageni" ni tatizo wanafikiri ni tatizo kwa wanafunzi wa vyuo tu!, wana-exclude binti zao, wanao, wake zao, waume zao, wazazi wao na kamaa zao?!, wanadhani kuwa wanavyuo nivipofu na mbumbumbu na hawana maamuzi dhidi ya technology?!.
Natabiri watu wengi watakao changia na amabo wame-changia hii bandiko hawata/ja angalia hii video mwanzo hadi mwisho.
Tatizo la sisi wabongo, No blame.