Je, kwa hali ya sasa kuna maana ipi ya kuwa mbunge katika bunge lilojaa chama kimoja nje ya kusifia kila kitu na kufumbia macho maovu?

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
521
1,468
Anaupiga mwingiiiii....

Kusifia kumekuwa jambo la kipaumbele zaidi licha ya wananchi majimboni hawaogi wiki nzima kwa kukosa maji bombani!

Hakuna mijadala ya kuwaweka kitimoto wapigaji, hata ripoti zinaonyesha upigaji ila wabunge hawaonyeshi nia ya kuwabana, ni kama wanatimiza tu wajibu kufika kwenye vikao, kusifiana na kuondoka.
 
Anaupiga mwingiiiii,,,,,,,,,,,kusifia kumekuwa jambo la kipaumbele zaidi licha ya wananchi majimboni hawaogi wiki nzima kwa kukosa maji bombani

hakuna mijadala ya kuwaweka kitimoto wapigaji, hata ripoti zinaonyesha upigaji ila wabunge hawaonyeshi nia ya kuwabana, ni kama wanatimiza tu wajibu kufika kwenye vikao, kusifiana na kuondoka
Ni upuuzi mtupu.....kazi yao ni kupiga braa braa na kusaini posho za vikao!
 
Sometime hua naona wabunge wana mdudu kwenye ubongo.
Picture this, bunge lote ni chama kimoja, hapo hapo wanakutana sehem moja a.k.a bungeni, alaf on top of aaaallll that bado wanasifiana humo humo.
Ni kama uishi na mama yako na ndugu zako, then kila siku unaamka na kuanza kuwaambia "huyu ni mama yangu" mara nyingii while they all know that.
Senzi sana
 
Wanawaza chaguzi tu
20240309_160418.jpg
 
Sometime hua naona wabunge wana mdudu kwenye ubongo.
Picture this, bunge lote ni chama kimoja, hapo hapo wanakutana sehem moja a.k.a bungeni, alaf on top of aaaallll that bado wanasifiana humo humo.
Ni kama uishi na mama yako na ndugu zako, then kila siku unaamka na kuanza kuwaambia "huyu ni mama yangu" mara nyingii while they all know that.
Senzi sana
Imagine ni watu wazima na familia Zao, yaani unamuona Kwa TV Mama yako anasema "kikokotoo hakina Shida" unajiuliza hawa Watu ni wazima kweli?
 
Niko hapa mkoa flani huku kusini, basi Jana nikaenda wilaya flani hadi kwenye Jimbo ambalo linaongozwa na mbunge mwanamke, nikapewa story ya binti wa kidato cha pili ambaye anuahitaji, anaishi peke yake, Baba yake aliondoka, mama yake alishafariki. Kwahio inabidi afanye vibarua aweze kuishi na kulipa Ada.

Nikaambiwa kuwa mbunge alipoombwa msaada alitoa/alimpa shati moja la Shule, yaani shati ambalo halizidi buku tano, kweli kabisa? Niliumia Sana, nimeahidi kumtumia mahitaji yake. Ni Aibu
 
Ni mkate wa kila siku na si vinginevyo. Ni nani asiyependa hela ya ubwete ubwete ya Serikali?
 
Anaupiga mwingiiiii,,,,,,,,,,,kusifia kumekuwa jambo la kipaumbele zaidi licha ya wananchi majimboni hawaogi wiki nzima kwa kukosa maji bombani

hakuna mijadala ya kuwaweka kitimoto wapigaji, hata ripoti zinaonyesha upigaji ila wabunge hawaonyeshi nia ya kuwabana, ni kama wanatimiza tu wajibu kufika kwenye vikao, kusifiana na kuondoka
Wanapangiwa cha kusema
 
Kumbe bado kuna watu wanafatilia hicho kikao Cha ccm kinacho itwa bunge 🤔 wale ndio wahujumu uchumi wa kwanza wamekaa pale kuitapeli na kuibia nchi hawana faida yoyote
 
Back
Top Bottom