Je kunauwezekano wa kubadili processor

Je kunauwezekano wa kubadili processor

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
493
Reaction score
187
Waungwana kama kichwa cha habari kinavyosema.

Kuna ubishi huku leo tumebishana sana kuhusu uwezekano wa kubadili processor.

Je hili swala linawezekana kwa laptops?

Nawasilisha
 
Ndio inawezekana na ndiyo maana zinauzwa pia zikiwa pekee kwenye boksi
 
zipo video nyingi youtube wanaelezea namna yakubadili processor kajifunze,
 
Kuna laptops unaweza badili na kuna zingine zimechomelewa kwenye motherboard so huwezi kubadili.
 
Uwezekano wakubadil upo ila cha msingi lazima ufuatiliea document za laptop yako kama zina ruhusu kubadil iyo processor kuna uzi ashawai uleta chief mkwawa unamaelezo ya kutosha kabisa
 
Kwenye laptop uwezekano wa kubadili ni mdogo sana. Angalia uwezekano wa kuongeza RAM au kuweka SSD hard drive kama shida yako ni kuongeza performance.
 
Back
Top Bottom