Je, kuna watu wanaishi mbele ya muda?

Je, kuna watu wanaishi mbele ya muda?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,579
Reaction score
161,433
Kuna uwezekano wa mwanadamu kuishi mbele ya muda?
Hebu angalia hii video fupi halafu tufungue mjadala mpana.
Asanteni na karibuni.

Yes wapo wanaoishi mbele ya muda na wengi wao huwa hawaeleweki kwa mda huo but mda ukifika huwa wanaonekana kama manabii ama watu wenye maono
 
Hii time travel huwa Ni Kama prophetically issue.
lakini ki sayansi ndiyo huwa tunaita hivyo.

Ili mtu aweze ku experience hicho kitu
Yampasa
-Audanganye mwili wake,
katika kuudanganya mwili huwa either
automatically au unautomatically

Tukija kusema automatically hapa mwili sometimes u respond kuwa haufanyi kazi/umepumzishwa na kipindi hicho Nafsi au roho ya mtu huwa inatoka na kuzunguka.
Sasa kwa vile Yule mtu alikuwa ametoka automatically Hapo Ufahamu wake utaanza ku sense na kuelewa each and everything.
lakini ili kufanya hidden vision,fasta u bongo uta respond na mwili ku take action na mtu atakuwa katika normally state japo atakuwa anajishangaa na kujiuliza alikuwa wapi/alikuwa ana fanya nn!!

Lakini katika upande wa Unautomatically hii huwa inatokea kwa kuamsha baadhi ya milango na fahamu au kupitia ku Unlock some code ambazo Zina control our future, present and past. kupitia hivyo mtu huwezo kufikia na kuona mbele
hii njia hutumika Zaid na watu au vikundi vyenye kuitawala Dunia
lakini pia baadhi ya taasisi za kijasusi mfano
CIA,KGB NA MOSSAD Huwa wana tumia hii njia.

Ila hii njia huwa Ni ya HATARI zaidi
Nitaielezeaga..

Tukija katika upande wa Pili
Time travel huwa ki,Imani ndiyo so called Prophetically (UNABII/UTABIRI)
Sasa inshu ya unabii huwa ya Aina nyingi achana na Hawa MATAPELI.

mfano Moja ya watu kwenye vitabu vya dini ambao wali experience Inshu ya Time travel walikuwa Ni

-Daniel
Huyu aliweza ku experience Time travel na alifanikiwa kuona Mambo yatakayoikuta Dunia kwa miaka efu 50 mbele kwa maana Nyingine alienda umbali wa miaka ELFU 50 na zaidi tokea alipo.
na Kuna baadhi ya Mambo ambayo aliyaona yapo kipindi Hiki na mengine yataikuta Dunia miaka ya 2090

-Yohana mwanafunzi wa Yesu
Huyu naye akiwa katika kisiwa Ali experience Hali hiyo kwa kuona Mambo ambayo kwa kipindi kile hayakuwa na kueleweka lakini baada ya miaka 1000 mbele yakaanza kutokea na mengine yataikuta Dunia
hususani miaka ya 2025

-Isaya
Huyu alifanikiwa KUONA Dunia itakavyokuwa miaka 6000 baada ya wakati wake,na mpaka baada ya mwaka 1 B.K Safari na maono yake yakatimia hususani Uwepo/kuzaliwa kwa Yesu.lakini pia hata mwaka 1961 kuhusu Tz Aliona pia na mengine yanatarajiwa kutokea mwaka 2024

-Enocho
Hahaha huyu jamaa kwanza alifanikiwa kwenda Before and after
kwanza kabisa aliweza kusafiri na kuona Past ya Mambo ya kale kabla yake na Future ya baada yake
Moja ya travel yake matata Ni kuwaona na kutambua uwepo wa Vita na Uhasi Mbinguni na pia Future ya baadae

-Na wengineo
Hawa mtawajazia.

Tukija katika key ya msingi Hawa wote nilio wa mention the way walivyokuwa Wanaona/Wana travel ilikuwa Ni tofauti kubwa na Sasa.

Mengi nitagusia hapa chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili huwa linanivuruga hata mimi maana kuna wakati huwa napenda kukaa na majirani watulivu na wakimya kabisa nao ni wafu huko makaburini
Sauti ya ndege tu unaisikia
Ngoja niende zangu labda hao wako mbele yetu zaidi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Umetisha mkuu

Complex hapo kwa Isaya na Tanzania... mmh!

Sent using Jamii Forums mobile app
YAAAH Isaya Ali Travel na kuona Hadi Hali Ya Tz hususani Mwaka 1961
Lakini pia,
Kuna na Mengi yapo Yataonekana

Ukienda kwenye Original Bible ya ki Ethiopian Taifa la Tz limegusiwa Maeneo Mengi Sana.
Ni Vile bible huwa Ina Code language Zake Ni Ngumu sometime kuzi Unlock

Tukija kwenye Daniel 7
Huwezi Amini zile Dola 4 Moja wapo Ita Rise Hapa Hapa Tz

Natamani Ku share Mengi Humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili huwa linanivuruga hata mimi maana kuna wakati huwa napenda kukaa na majirani watulivu na wakimya kabisa nao ni wafu huko makaburini
Sauti ya ndege tu unaisikia
Ngoja niende zangu labda hao wako mbele yetu zaidi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wapo Wafu ambao wapo Mbele Yetu,
Lakini Wapo Wafu ambao wapo Nyuma Yetu.

Lakini Makaburini SI sehemu salama na Nzuri coz Ni rahisi Sana
Kuingiliwa na Maroho Machafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom