Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,207
- 12,506
Kumekuwa na malalamiko kila siku, kuhusu Tigo kuwakatika ntwrk watumiaji wao hasa wenye simu Original, mimi nikiwa shuhuda nimeona Samsung Note 1, 2,3,4 pamoja na S5 nyingi tuu wamewafanyia hivyo, hizi line zinakata net ukiweka line za Tigo ila Ukiweka Halotel ni fresh inafanya kazi, jambo la kuudhi, unapofika katika Ofisi zao Hasa Morogoro hawa jamaa wanaudhi natamani hata kumnasa mtu kofi mle ndani.
Ukiwauliza mbona sim yangu haina net wanajibu bila ya kufikiria kwamba simu yako ni fake, nikupoze pesa kidogo utuachie, maskini maboya kibao wanaacha simu zao pale kila siku, hii ni haki kweli? Mtu yoyote anayetaka kuthibitisha leo aende pale na simu iliyopatwa na hayo majanga akakutane na maudhi hao, pia kama Fundi mwenye uzoefu nimegundua hili suala la Imei wengi wamekurupuka hasa hawa waliokabidhiwa hili jukumu, hii mitandao yaani hawajui chochote zaidi ya kupiga dill,
Sasa jana nimekuta zile simu kutoka kwa wenzetu hapo jirani,,nahisi kuna wajanja Kenya simu zile za XBO zile simu nyingi zina imei za Nokia za tochi...ntarudi baadae kuwaonesha upuuzi uliojaa ktk hili la imei.