Kwanza umejiwekea ujinga au brain barrier kwamba hakuna anayeweza kwenda Ikulu including yourself.... Yaani tayari wewe akili yako umeishusha na kutegemea mwingine eti ainue maisha yako. Lakini cha ajabu ni kwamba toka uzaliwe mpaka leo ni wewe mwenyewe umekuwa unaendesha maisha yako na familia yako, kwa kutumia akili yako....Haipo Demokrasia au hatuna Upinzani wenye tija, Je unadhani kuna mpinzani yoyote mwenye hadhi ya kuingia Magogoni?
Jiwe mwenyewe hafai, wapo watu wengi mno wangetufaa sana ila demokrasia yetu haiwapi mazingira ya kuchomoza.Haipo Demokrasia au hatuna Upinzani wenye tija, Je unadhani kuna mpinzani yoyote mwenye hadhi ya kuingia Magogoni?
Kwanza umejiwekea ujinga au brain barrier kwamba hakuna anayeweza kwenda Ikulu including yourself.... Yaani tayari wewe akili yako umeishusha na kutegemea mwingine eti ainue maisha yako. Lakini cha ajabu ni kwamba toka uzaliwe mpaka leo ni wewe mwenyewe umekuwa unaendesha maisha yako na familia yako, kwa kutumia akili yako....
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe kama popo, lazima ujipambanue unachokiamini ama upande unaoegemea, upinzani ama watawala.
Kuna mengi uliyoeleza ya hovyo ni kweli ni ya hovyo.
Lakini kila kitu kina upande wake wa pili wa shilingi, haujajihangaisha na kueleza mema yanayofanywa na awamu hii kupelekea hao waTz uliowasema wenye 'akili timamu' waendelee kuunga mkono juhudi.
Hilo la kusema uchaguzi uwepo ama usiwepo ni habari nyingine, maana jambo hilo lipo ndani ya katiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina muda kbs wa kupiga kura ili mtu apate kula kwa katiba yetu hii na tume yetu hii. Leo nimeangalia clip ya Bashiru akihojiwa Azam Tv wakati huo akiwa Dr. Analia na katiba na tume.
Sent using Jamii Forums mobile app