Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Halafu hiyo salamu imekaa kidini zaidi yaan ni ya kibaguzi rekebishaKristu.....
Kuuliza sio ujinga, ikitokea umeachana na mpenzi wako kisha ukapata mchumba. Je kuna ulazima wa kumjulisha x wako kuwa umepata mchumba? Let say mnaishi mikoa tofauti ambapo sio rahisi kwa yeye kupata habari zako isipokuwa kupitia kwako?
Ukishamjulisha na mipango ikaendelea vyema, can you invite him/her to your wedding ceremony? Vipi kuhusu card ya mchango, unaweza kumpa? Wewe x unaweza kutoa mchango au kuhudhuria harusi/ sendoff ya x wako?
Mimi binafsi siwez kutoa mchango wala kuhudhuria harusi ya x
una wivu wa hali ya juu lol
That sickness I have now, (story ndefu lakini) ameoa but I don't want to loose him in communication akiomba tuonane namkwepa lol! Sijui pepo!!!!!! Mi siwez kwenda japo mchango ntatoa