Ni kweli,wanawake wengi mara nyingi wanaamini uongo kuliko ukweli,na ukitaka kulithibitisha hilo,wewe nenda kamtafute mwanamke yeyote yule leo umwambie unamataka lakini umweleze kwamba huna hela isipokuwa utampa kidogo ya usumbufu kama ten hivi uone kama utakubaliwa,lakini mtafute halafu mwambie utampatia kilo kama watoto wa mjini wanavyoita uone,utakubaliwa cahpchap mpaka mwenyewe utashangaa.