Je kuna ukwel wowote kwenye hili?

Ms. Kadadaa jumapili

Senior Member
Jul 9, 2013
102
48
naomba tu nishee huu ushauri unaweza ukakufaa wewe au nduguyo au rafiki yako mana ndo mtindo wakisasa....
kama mwanamke wako tayari ni mjamzito subiri ajifungue ndio ufunge ndoa. ukifunga ndoa akiwa mjamzito unamuoa na mtoto wa tumboni, kwani ndoa ni agano. mama na mtoto ni kitu kimoja so unaweka agano na mama na mtoto. mwishoni unakuta mtoto haolewi na akiolewa anaachika kila mara kumbe ulishamuoa wewe akiwa tumboni.
USHAURI: Usioe akiwa mjamzito subiri ajifungue

Je kuna ukweli?
 
Hakuna lolote

Imani yenu tu

Mwisho mtasema msifanyane kama mkeo ni mjamzito maana utakuwa unamfanya na mtoto aliye tumboni
 
kama Ni mtoto WA kiume inakuwaje? au ndo anakuwa shoga!. Embu nijuze hapo!
 
Ni swali ama ushauri? Umekuja mbio sana au we ni victim wa iyo kitu na km ni mtoto wa kiume sipati picha umekuwaje
 
Hakuna lolote

Imani yenu tu

Mwisho mtasema msifanyane kama mkeo ni mjamzito maana utakuwa unamfanya na mtoto aliye tumboni

ungemuuliza hiyo imani kaitoa waoi?
usikute akakupa quote ya kitabu chake cha dini
usi dismiss easily labda kuna kitu hujui
 
Umechunguza, ukawaza ukaja na mtazamo kisha ukatoaa suluhisho,
Sasa swali la nini tena?
 
Back
Top Bottom