Je! Kuna software ya kuformat memory card za Simu?

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
158
Mambo vp wakubwa? Kwa mara nyingine tena nahitaji ufafanuzi kuhusiana na jambo hili, eti kuna softwire za kuformat memory card za simu?
 
Mh sidhani maana palepale kwenye simu kuna option ya kuformat memory card. Huo ni mtazamo wangu tu, tusikie ya wengine
 
Ndio zipo zinaitwa low level format software.hizi uwa zinaondoa mpaka lock ambazo zipo katika memory card.na pia unaweza repair some memory card problems.
 
Poa mkubwa chipukizi sasa naweza wapi kuipata hyo ktu?coz nimejaribu kuformat kwnye simu na pc window inakataa kuiformat.
 
Back
Top Bottom