mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Wakuu naomba kujuzwa ikiwa kunasecond selection za diploma na je unalazmika kufanya application tena?
nakushauri kama unataka kozi nzuri nenda private mara nyingi baada ya first selection vyuo vya serikali hubaki na kozi zisizopendwaWakuu naomba kujuzwa ikiwa kunasecond selection za diploma na je unalazmika kufanya application tena?
asee ni maajabu unachagua kozi hujui inahusu niniWakuu nmepata DIT mwanza compus kozi yenye ni science and laboratory technology , je chuo hiko ni kizur ? na je hiyo course inalipa? Na unafanya kazi gan ukimaliza?
sikuiomba ila nilijikuta nimechaguliwaasee ni maajabu unachagua kozi hujui inahusu nini
mmh hii mpya mkuu umechaguliwa kwa kitu usichokiomba...ila ngoja utapewa majibu kiongozisikuiomba ila nilijikuta nimechaguliwa