JE KUNA SCREEN PROTECTORS FOR IPHONE

JE KUNA SCREEN PROTECTORS FOR IPHONE

alexis jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
391
Reaction score
343
Wakuu habari Ku declare interest Mimi ni mshamba wa iphones ni android user je iphones zina glass screen protectors coz watu wengi wa iPhone unakuta simu ina crack so tusaidiane pia costs zake kwa ajuae
 
Zipo original nenda mlimani city kwenye duka linalouza vifaa hivyo
 
Back
Top Bottom