Je, kuna mbinu mpya ya kuchepuka?

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,011
Reaction score
1,915
Hello .

Kucheat kwa mwanaume ni kitu cha kawaida .

Karibu Tupeane mbinu mpya za michepuko.

1..Kuna umuhimu wa kuwa na WhatsApp mbili.

2.Kuna App ya Calculator ya muhimu Sana kuwa nayo unaweza kuhide application kama WhatsApp moja.

3.Usimzoeeshe mchepuko Ku chart au kukutafuta wakati anapokuhitaji wewe ndo uanze kumtafuta.

4.Mke wako mjali na endelea kumpa mahitaji ya muhimu.

5.Fanya yote mke asijue unachepuka.

6.Mwanzo tumia condom,ukipima dry inahusika

Je kuna mbinu Mpya ya kuchepuka
 
Kua na msela wako ambae zinaiva sana kazini, tumia simu yake kuwasiliana na mchepuko wako na yy anatumia cmu yako kuwasiliana na mchepuko wake!

Sema mdinyano wa kiuwizi mtamu sana
 
Nimekwambia wakati unaendelea uwe tayari Kwa matokeo yatakayokupata siku umekamatwa.

Kama unajua unawezakuchepuka bila kukamatwa, kwanini unatafuta mbinu zaidi za kuimarisha ulinzi au kuficha nyendo za uchepukaji?
Siwezi kukamwata ,,nakamatwaje kea mfano

Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…