Je, kuna madhara yoyote kwenye ujauzito wa mke wangu kwenye hili?

The MaskmaN

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
350
754
Habarini za jioni wana JF.

Samahanini kwa Usumbufu ila yanipasa kulifahamu ili hakuna namna.

Mke wangu wa ndoa ni MAMA KIJACHO wa miezi 8, nina miezi sasa hatufanyi tendo kwa sababu amekuwa analalamika kuumia wakati wa tendo. Hivyo kumjali mke wangu na hamu ya mtoto nimeona "nisizi" kidogo kwenye tendo.

Ila leo nimepokea text kutoka kwa Mchepuko wangu umenimiss full mapicha picha na mameseji ya kunyegesha. Na ukitazama hali yangu kweli ni tete haswaaa yani kuna muda mpaka naweza kushtuka asubuhi najikuta nimechafua boksa.

Sasa nataka kujua Je kuna madhara yeyote yanaweza kumtokea mke wangu au mtoto wangu aliye tumboni endapo nikikubaliana na ushawishi wa Mchepuko wangu kwenda kuchakata mbususu?
 
Nenda kazini ulete UKIMWI nyumbani uue mke na mtoto. Acha Uasherati.
 
Ila leo nimepokea text kutoka kwa Mchepuko wangu umenimiss full mapicha picha na mameseji ya kunyegesha. Na ukitazama hali yangu kweli ni tete haswaaa yani kuna muda mpaka naweza kushtuka asubuhi najikuta nimechafua boksa
Kwamba amekukumbuka tu au ulimweleza kua kwa sasa ne mkeo hamshiriki tendo la ndoa, hivyo akaona atumie fursa??
 
Sasa nataka kujua Je kuna madhara yeyote yanaweza kumtokea mke wangu au mtoto wangu aliye tumboni endapo nikikubaliana na ushawishi wa Mchepuko wangu kwenda kuchakata mbususu?!
Mkuu mbona kama ushaingia mtegoni/ushashawishika? Vile hii post ni ya jana, tunaomba updates/mrejesho tafadhali. Wacha niendelee kusoma...😛
 
Miezi nane mnashindwa kufanya? Au ana tatizo? Wengine huwa wanafanya hadi siku ya kwenda leba
 
Habarini za jioni wana JF.

Samahanini kwa Usumbufu ila yanipasa kulifahamu ili hakuna namna.

Mke wangu wa ndoa ni MAMA KIJACHO wa miezi 8, nina miezi sasa hatufanyi tendo kwa sababu amekuwa analalamika kuumia wakati wa tendo. Hivyo kumjali mke wangu na hamu ya mtoto nimeona "nisizi" kidogo kwenye tendo.

Ila leo nimepokea text kutoka kwa Mchepuko wangu umenimiss full mapicha picha na mameseji ya kunyegesha. Na ukitazama hali yangu kweli ni tete haswaaa yani kuna muda mpaka naweza kushtuka asubuhi najikuta nimechafua boksa.

Sasa nataka kujua Je kuna madhara yeyote yanaweza kumtokea mke wangu au mtoto wangu aliye tumboni endapo nikikubaliana na ushawishi wa Mchepuko wangu kwenda kuchakata mbususu?
Gombeyehealthcare.
Tunatoa huduma zifuatazo÷
1. Matatizo ya Mifupa.
2. Matatizo ya Mmengonyo wa Chakula.
3. Matatizo ya uzazi kwa jinsia zote.
4. Matatizo yabayoambatana na mfumo wa damu.

NB. Tatizo la mwenza wako kipata Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa linatibka
Karibu uhudumiwe.
Wasiliana nasi kwa namba÷
+255 678 211 747
+255 733 482 038.
Tunapatikana Dar es salaam ILALA.
 
Back
Top Bottom