Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,790
- 58,402
Ndege haikua juu xnaa kipindi huyo anaruka ...katoboa uyoView attachment 3072192
Salama wakuu..
Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video..
Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu la jamaa kuchukua hatua ya kuruka kutoka kwenye ndege mpaka chini ya maji nilijua ni simple sana.
Lakini baada ya kuja kukaa na wataalamu wakawa wanasema ni bora uangukie kwenye miti na sio kwenye maji..
Wengine wakafika mbali na kusema ni ngumu kuruka kutoka kwenye ndege hasa za abiria kutokana na ile speed yake ukiongeza mda huo mpo kwenye moment ya accident mambo huwa tofauti.
Sasa kwa tukio hilo hapo juu kitaalamu wakuu lipoje je atapona huyo jamaa au ndo kwisha habari yake..
Najua kuna watu watakua wanayo hii au wameona mpaka mwisho tofauti na mimi but ebu tujaribu kujadiri ili kutufungua wengune kidogo je hiki kitu ni possible au impossible...
Kama ni possible ni kwanini...??
Kama impossible ni kwanini..?
Zingatia g=9.8m/sΒ².. Ο=22/7
Baba Swalehe
Vipi kuhusu impact iliyotokea kati yake yeye na maji....Jamaa atakuwa alipona make time lapse ni ndogo sana ... He probably survived.
Ishu inakuja kwa speed ile ya ndege kuelekea chini je impact ya jamaa na maji maana ukisikia alivyo shuka ile sauti....?Ndege haikua juu xnaa kipindi huyo anaruka ...katoboa uyo
Impact pia ni ndogo kama tunavyosema speed haikuwa kubwa kwa maana hiyo impact lazima iwe ndogo .. kumbuka momentum=mass x velocity, hivyo velocity haikuwa kubwa kulingana na kimo Cha mruko.Vipi kuhusu impact iliyotokea kati yake yeye na maji....
Haiwezi kuwa factor ya yeye kukata moto mkuu..?
Ushawai ku dive kina kirefu au kifupi?Ishu inakuja kwa speed ile ya ndege kuelekea chini je impact ya jamaa na maji maana ukisikia alivyo shuka ile sauti....?
Hapana sizani kutokana na nguo alizovaa sizani...Karuka peke Ake atakua ni pilot yule
Kifupi nishawahi mkuu..?Ushawai ku dive kina kirefu au kifupi?
Mkuu watu tunapambania maisha..Kwa hiyo aliyeruka hataki kufa ili aende mbinguni?
Ili uwaokoe watu ndege inatakiwa kumwaga Mafuta nakushuka slow kwenye maji hapo unaokoa watuView attachment 3072192
Salama wakuu..
Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video..
Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu la jamaa kuchukua hatua ya kuruka kutoka kwenye ndege mpaka chini ya maji nilijua ni simple sana.
Lakini baada ya kuja kukaa na wataalamu wakawa wanasema ni bora uangukie kwenye miti na sio kwenye maji..
Wengine wakafika mbali na kusema ni ngumu kuruka kutoka kwenye ndege hasa za abiria kutokana na ile speed yake ukiongeza mda huo mpo kwenye moment ya accident mambo huwa tofauti.
Sasa kwa tukio hilo hapo juu kitaalamu wakuu lipoje je atapona huyo jamaa au ndo kwisha habari yake..
Najua kuna watu watakua wanayo hii au wameona mpaka mwisho tofauti na mimi but ebu tujaribu kujadiri ili kutufungua wengune kidogo je hiki kitu ni possible au impossible...
Kama ni possible ni kwanini...??
Kama impossible ni kwanini..?
Zingatia g=9.8m/sΒ².. Ο=22/7
Baba Swalehe
Distance factor sawa ila kumbuka kipindi anaruka alikua ajatoka pale na 0 velocity... Ametoka pale akiwa yupo speed sawa na ile ya ndege au hiyo ipo vipi mkuukapona, distance factor, atakuwa na maumivu ya ndani tu