Wataalam wa mambo, nilikuwa ninauliza kama kuna kampuni hapa nchini inayotoa mikopo ya pikipiki kama ilivyo kwa magari. Tafadhali naomba unijulishe kama ipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.