Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,165
- 29,864
Viongozi wanaogopa kuambiwa wananchi hawapo pamoja naoHatari sana.
Unafikiri kinachoogopwa ni nini?
Wananchi kufanya maandamano kupindua serikali?Hili ni gumu kutokea hata maandamano yakiruhusiwa.
Au kinachoogopwa waliondani ya system kutumia maandamano kupindua serikali? Hili ndilo linaogopwa zaidi.
Kama ni laana ya kuliangamiza taifa hii taasisi itabeba sehemu kubwa ya laana hii pengine kuliko nyingine yeyote!Usalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni.
Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere.
Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine.
Usalama wa Taifa miaka hiyo ilikuwa very very smart.
Waligundua njama hawakupanic, walifanya uchunguzi kimya kimya bila kubugudhi wananchi.
Na wananchi walikuwa nyuma ya serikali na kuiunga mkono.
Tunakumbuka sokomoko lilikuwa wakati wa ukamataji.
Na walikamatwa wote na kupelekwa mahakamani.
Sasa mambo yakoje.
TISS ya sasa imekaa kisiasa zaidi kuliko kitaalam.
Mpaka kuwaachia Polisi waanze kuilinda serikali mitaani, hii ni failure ya System.
Na hapo tujikumbushe kuwa siasa si uhaini, na siasa zimeelezwa vizuri katika katiba ya nchi yetu.
Imefika mpaka tunajiuliza wale wanausalama nguli waliostaafu, hawajaweza kuacha kizazi kinacho faa kwenye recruiting ya wanausalama ambao wangeweza kuwa wabobezi wa kizazi hiki?
Inawezekana kabisa kuwa udhaifu uliopo unatokana kuajiri ndugu jamaa na marafiki wa karibu na viongozi, badala ya umakini mkali toka kuchukua vijana wenye akili mashuleni.
Hapo hapo tukumbuke kuwa TISS ya sasa imekuwa na wakuu karibia wanne katika kipindi kifupi.
Kwa sasa Usalama wa Taifa wanafanyabkazi bila Intelligence.Kama ni laana ya kuliangamiza taifa hii taasisi itabeba sehemu kubwa ya laana hii pengine kuliko nyingine yeyote!
Hii nchi saahizi kila mtu ni mchumia tumbo, suala la intelligence ni ziadaKwa sasa Usalama wa Taifa wanafanyabkazi bila Intelligence.
Usalama wa Taifa ambapo wananchi hawako salama!Unaeleza hawa usalama condom wa nchi.Maana hata wenyewe wanaokoteza habari ndio wanajiona usalama
JWZ, TISS wote wanatumia akili za Abdul na Samia.Usalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni.
Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere.
Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine.
Usalama wa Taifa miaka hiyo ilikuwa very very smart.
Waligundua njama hawakupanic, walifanya uchunguzi kimya kimya bila kubugudhi wananchi.
Na wananchi walikuwa nyuma ya serikali na kuiunga mkono.
Tunakumbuka sokomoko lilikuwa wakati wa ukamataji.
Na walikamatwa wote na kupelekwa mahakamani.
Sasa mambo yakoje.
TISS ya sasa imekaa kisiasa zaidi kuliko kitaalam.
Mpaka kuwaachia Polisi waanze kuilinda serikali mitaani, hii ni failure ya System.
Na hapo tujikumbushe kuwa siasa si uhaini, na siasa zimeelezwa vizuri katika katiba ya nchi yetu.
Imefika mpaka tunajiuliza wale wanausalama nguli waliostaafu, hawajaweza kuacha kizazi kinacho faa kwenye recruiting ya wanausalama ambao wangeweza kuwa wabobezi wa kizazi hiki?
Inawezekana kabisa kuwa udhaifu uliopo unatokana kuajiri ndugu jamaa na marafiki wa karibu na viongozi, badala ya umakini mkali toka kuchukua vijana wenye akili mashuleni.
Hapo hapo tukumbuke kuwa TISS ya sasa imekuwa na wakuu karibia wanne katika kipindi kifupi.
Hili swali Bora kabisa la kifalsafa.Changamoto kubwa nyakati hizi ni kushindwa kutofautisha taifa, nchi na serikali.
Upi ni usalama wa taifa?
Wa nchi?
Na wa serikali je?
Vyote vinatakiwa viwe salama.
Usalama umebinafsishwa kwa viongozi, hili ni tatizo kubwa.Changamoto kubwa nyakati hizi ni kushindwa kutofautisha taifa, nchi na serikali.
Upi ni usalama wa taifa?
Wa nchi?
Na wa serikali je?
Vyote vinatakiwa viwe salama.
Je na TISS imeingia mtego huo na kunasa?Changamoto kubwa nyakati hizi ni kushindwa kutofautisha taifa, nchi na serikali.
Upi ni usalama wa taifa?
Wa nchi?
Na wa serikali je?
Vyote vinatakiwa viwe salama.
Iko namna!Usalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni.
Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere.
Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine.
Usalama wa Taifa miaka hiyo ilikuwa very very smart.
Waligundua njama hawakupanic, walifanya uchunguzi kimya kimya bila kubugudhi wananchi.
Na wananchi walikuwa nyuma ya serikali na kuiunga mkono.
Tunakumbuka sokomoko lilikuwa wakati wa ukamataji.
Na walikamatwa wote na kupelekwa mahakamani.
Sasa mambo yakoje.
TISS ya sasa imekaa kisiasa zaidi kuliko kitaalam.
Mpaka kuwaachia Polisi waanze kuilinda serikali mitaani, hii ni failure ya System.
Na hapo tujikumbushe kuwa siasa si uhaini, na siasa zimeelezwa vizuri katika katiba ya nchi yetu.
Imefika mpaka tunajiuliza wale wanausalama nguli waliostaafu, hawajaweza kuacha kizazi kinacho faa kwenye recruiting ya wanausalama ambao wangeweza kuwa wabobezi wa kizazi hiki?
Inawezekana kabisa kuwa udhaifu uliopo unatokana kuajiri ndugu jamaa na marafiki wa karibu na viongozi, badala ya umakini mkali toka kuchukua vijana wenye akili mashuleni.
Hapo hapo tukumbuke kuwa TISS ya sasa imekuwa na wakuu karibia wanne katika kipindi kifupi.
Sasa hivi vyombo havifanyi kazi ya kutetea wananchi na walipa kodi, bali kwa manufaa binafsi ya uongozi, na mbaya zaidi hawajibiki kisiasa kwa wananchi.JWZ, TISS wote wanatumia akili za Abdul na Samia.
Wote walioachwa wana kadi za Chama! Kwa hio inakua inapigwa training ya intelligence with ukada kama vile enzi zetu tulivyowekewaga physics with chemistry kama somo moja!Usalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni.
Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere.
Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine.
Usalama wa Taifa miaka hiyo ilikuwa very very smart.
Waligundua njama hawakupanic, walifanya uchunguzi kimya kimya bila kubugudhi wananchi.
Na wananchi walikuwa nyuma ya serikali na kuiunga mkono.
Tunakumbuka sokomoko lilikuwa wakati wa ukamataji.
Na walikamatwa wote na kupelekwa mahakamani.
Sasa mambo yakoje.
TISS ya sasa imekaa kisiasa zaidi kuliko kitaalam.
Mpaka kuwaachia Polisi waanze kuilinda serikali mitaani, hii ni failure ya System.
Na hapo tujikumbushe kuwa siasa si uhaini, na siasa zimeelezwa vizuri katika katiba ya nchi yetu.
Imefika mpaka tunajiuliza wale wanausalama nguli waliostaafu, hawajaweza kuacha kizazi kinacho faa kwenye recruiting ya wanausalama ambao wangeweza kuwa wabobezi wa kizazi hiki?
Inawezekana kabisa kuwa udhaifu uliopo unatokana kuajiri ndugu jamaa na marafiki wa karibu na viongozi, badala ya umakini mkali toka kuchukua vijana wenye akili mashuleni.
Hapo hapo tukumbuke kuwa TISS ya sasa imekuwa na wakuu karibia wanne katika kipindi kifupi.
Wa sasa hivi wanajua hakuna wa kuipindua nchiUsalama Wa Taifa TISS kwa miaka ya karibuni imeprove failure wa sehemu kubwa katika miaka ya karibuni.
Mwaka 1982, kulikuwa na njama za kuipindua serikali ya Mwalimu Nyerere.
Wahusika walikuwa kina Mohammed Musa Tamimu, Capt Eugene Maganga, na Uncle Tom na wengine.
Usalama wa Taifa miaka hiyo ilikuwa very very smart.
Waligundua njama hawakupanic, walifanya uchunguzi kimya kimya bila kubugudhi wananchi.
Na wananchi walikuwa nyuma ya serikali na kuiunga mkono.
Tunakumbuka sokomoko lilikuwa wakati wa ukamataji.
Na walikamatwa wote na kupelekwa mahakamani.
Sasa mambo yakoje.
TISS ya sasa imekaa kisiasa zaidi kuliko kitaalam.
Mpaka kuwaachia Polisi waanze kuilinda serikali mitaani, hii ni failure ya System.
Na hapo tujikumbushe kuwa siasa si uhaini, na siasa zimeelezwa vizuri katika katiba ya nchi yetu.
Imefika mpaka tunajiuliza wale wanausalama nguli waliostaafu, hawajaweza kuacha kizazi kinacho faa kwenye recruiting ya wanausalama ambao wangeweza kuwa wabobezi wa kizazi hiki?
Inawezekana kabisa kuwa udhaifu uliopo unatokana kuajiri ndugu jamaa na marafiki wa karibu na viongozi, badala ya umakini mkali toka kuchukua vijana wenye akili mashuleni.
Hapo hapo tukumbuke kuwa TISS ya sasa imekuwa na wakuu karibia wanne katika kipindi kifupi.
Hata CCM ikiwa madarakani, kwani GOOD GOVERNANCE ni mwiko?Wa sasa hivi wanajua hakuna wa kuipindua nchi