Je, kuna dawa za asili za kuongeza kinga mwilini ?

Hii post inaonyesha jamaa unaogopa kufa kupata ukimwi sio kufa vitu vingi sana vinaongeza kinga ya mwili ila Mlonge ndio baba lao otherwise maintain good diet utakua fresh.
 
Ukosefu wa kinga mwilini jamani katika tiba asili, ni dawa gani zinauwezo mkubwa wa kupandisha kinga iliyo toweka katika mwili wa binadamu?
Natanguliza heshima kwenu.
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Utamtibia UPUNGUFU WA KINGA MWILINI?!!!!
DR,be serious!!!
 
Kinga ya mwili nzuri ni ile inayojengwa na chakula Bora. Pendelea kula vyakula salam vya mwili wako. Kama chakula Bora ukijuwi nitafute
 
Hii post inaonyesha jamaa unaogopa kufa kupata ukimwi sio kufa vitu vingi sana vinaongeza kinga ya mwili ila Mlonge ndio baba lao otherwise maintain good diet utakua fresh.
Mlonge haiongezi Kinga Mwilini.Mlonge ina Asidi, asidi yoyote ile haiwezi kuongeza Kinga ya Mwili. Kuna dawa za kuongeza kinga ya mwili lakini sio Mlonge.
 
Wauonje waone, hauliki. Wajisalimishe tu kwako.
 
Ukosefu wa kinga mwilini jamani katika tiba asili, ni dawa gani zinauwezo mkubwa wa kupandisha kinga iliyo toweka katika mwili wa binadamu?
Natanguliza heshima kwenu.
Wasiliana na hawa. Nilipata namba zao kwenye miaka ya 2010/2011, walikuwa Sumbawanga, 0762977889 na 0758119000. Wamewasaidia wengi.
 
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Kama una dawa ya kuponyesha ugonjwa wa ukimwi, mbona huitangazi katika vyombo husika ?
Pale Hospitali ya Muhimbili kuna idara ya Tiba Asilia, Wizara ya Afya napo kuna kitengo cha Tiba Asilia, naomba uende huko basi ili dawa yako ifanyiwe utafitihakiki na kupata fulsa ya kusaidia wagonjwa wengi zaidi wanaosumbuliwa na huo ugonjwa.
Fanya hivyo basi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom