Je, kuna dawa ya kuongeza nguvu za 'kike'?

Nguvu za kiume zinaonekana dhahiri zikipungua. Za kike nazo zinapungua (dada anakosa hamu kabisa). Lakini hawezi kukwambia wewe mwanaume. Hawa ndio wale wanajifanya wamefika kileleni na wana enjoy ile mbaya kumbe hisia hamna kabisa. So kuna upungufu wa nguvu za kike. Lakini mpenzi au mkeo akikwambia si utasema anatafuta njia ya kukunyima?
 
Mwanamke hapungukiwagi nguvu, hii ni kwa sababu yeye anapokea kutoka kwa mwanaume na mwanaume huwa anatoa.
Umeelewa lakinii

wnawake pia wanapungukiwa nguvu za kike sema wanawake wengi hawatambui kuwa wanaupungufu huo...
dalili zake ni ....
>mwanamke kukosa hamu kabisa ya kushiriki tendo. na hata akishiriki hasikii ile raha iliyokuwa anaipata kabla au inayotakiwa kuipata.
Na hili limekuwa ni mtego mkubwa pale kwa mwanamke anapokua kwenye ndoa kwani husabibisha matatizo na mmewe au kumpelea kuingia kwenye michepuko..

>jiulize je zile purukushani na msisimko uliokua uanaupata ulipo anza kujihusisha na mapenzi bado unao?

Dawa zipo ili sema wanawake wengi unakuta wanaona wako sawa kabisa... kutokana na wao kuamini kuwa wao ni watu wa kupokea tuu... hakuna kazi kubwa..

Kuna dawa moja nilisikia iko huko nchi za ulaya ambayo inambatana na upasuaji mdogo ambayo ni gharama sana...

>>> mwanamke baada ya kua amejifungua kwa njia ya kaaida au vyovyote na kuhisi kua maumbile yake yametanuka na hana mpango tena wa kuzaa... basi hufanyiwa upasuaji wa kurudishwa maumbile yake katika size aipendayo. na akishapona huchomwa sindano flani kwenye G-SPOT ambayo itasababisha iongezeke ukubwa na hivyo ile hali ya msisimko kuongezeka... mara dufu hapo sasa yeye atakuwa ni kufurahia maisha na mwenza wake mpaka basii...

Kwa hiyo dada zangu jichunguzeni na mjue kama mmepungukiwa mpate ushauri na matibabu .... muokoe ndoa na mahusiano yenu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom