Kama una shida ya kweli hupotezi kitu kwa ku-appeal bali ujue probability ya wao kukubaliana na wewe ni ndogo kwani (1) hujui kwa nini wamekupa walichokupa au wamekunyima, sasa hapo unajitetea vipi? (2) walisha weka ukomo wa wanafunzi 30000 na wameshatoa kwa kama 29000 na ushee hivyo labda wapate hela ya nyongeza wataweza kusaidia wachache zaidi kupitia appeal. Kwa hiyo appeal lakini jitayarishe na mkakati mwingine.