Je kukata rufaa HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au hata waliokosa?

skyschool

Member
Sep 3, 2017
5
0
Je kukata rufaa kwenye bodi ya mikopo HESLB ni kwa ajili ya wale tu waliopata mkopo usioridhisha au pia ni hata kwa wale ambao majina yao hayajatokea kwenye list ya wanufaika wa mkopo kutoka HESLB???
 
Ukiacha kukosa, Kama hujaridhika pia unaeza appeal lkn Uwe na strong evidence Kama vifo vya wazaz (certificates) shule ulosoma haitozi Ada kubwa na km hizo
N:B kuna jamaa alipata 60% akaapeal akapunguziwa had 50%
 
Duhhhhh
Hiyo si ni sawa na ile unakwenda kwa mwalimu kulalamika uongezewe marks ,halafu badala ya kuongezewa unashangaa anaanza kuupitia upya mtihani at the end marks zinapunguzwa
 
Mkuu kuapeal ni kupoteza muda jipange tu
Kama una shida ya kweli hupotezi kitu kwa ku-appeal bali ujue probability ya wao kukubaliana na wewe ni ndogo kwani (1) hujui kwa nini wamekupa walichokupa au wamekunyima, sasa hapo unajitetea vipi? (2) walisha weka ukomo wa wanafunzi 30000 na wameshatoa kwa kama 29000 na ushee hivyo labda wapate hela ya nyongeza wataweza kusaidia wachache zaidi kupitia appeal. Kwa hiyo appeal lakini jitayarishe na mkakati mwingine.
 
Samahani mkuu kwa chuo kama udsm kwa maisha ya kawaida tu,kwa mtu ambae hajapata mkopo anaweza akatumia kama kiasi gani cha pesa kwa siku,kwa maisha ya kawaida tu yasio na makuu mengi,ushauri wako unaitajika mkuu.
 
Kwa chakula tu awe na 5 elfu per day....

No extra comments
 
Ngoja wenye uzoefu, tuwaombe watueleze kwa kina. Ni swali safi kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom