Je, kuhutubia mikutano ya hadhara live kila siku hakuzuii watu kufanya kazi ?

Hapo unawanyima uhondo waliokusudia kwenda kusimama huko milimani ili waone vizuri. Watatolewa mkuku na walinzi, kumbe hata hawakuwa na nia mbaya, walitaka tu kujionea. Hii umekosea!


Ukweli Mkuu ndo huo si kwamba ulinzi ni mkali kihivo ,,hamna hata , inabidi waimarishe ulinzi wa Jiwe
 
Mi katika ulinzi ningemshauri awe mwangalifu na wale wanaokuja kumlilia shida kwenye mikutano ya hadhara. Siku ya siku atakuja aliyechafukwa mambo yawe mengine. Chunga sana mkulu.

Anaweza pigwa kisu ,au bomu likalipuliwa kabisa ,Watu hawampendi Mkuu
 
Back
Top Bottom