Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,441
- 12,862
Bunge live lilizuiwa kwa sababu za kitoto, kipuuzi na kishamba sana. tuliambiwa tupate muda wa kufanya kazi. sasa tunashuhudia hata uzinduzi wa makanisa na kusimika mapadre ukiwa mubashara kutwa nzima.
Huyu bwana anatembea na tv nchi nzima.
akienda msibani live, akila live, akienda kanisani mubashara, akienda ziarani mubashara mchana kutwa.
Je, yeye akioneshwa mubashara hawazuii hao wananchi kufanya kazi au kwakuwa yeye ni bingwa wa kutofuata utaratibu?
Unafiki ni jambo baya ila ni chakula cha CCM
Acha kuogopa wapinzani mzee baba kama unakubalika waache nao wacheze uwanja sawa tuone.
Huko malawi ulienda kujifunza nn? mbona wao viongozi wa kitaifa kila mtu anagombea kwa chama chake na hakuna nongwaaa?