Hawa ni wale madogo wanaomaliza darasa la saba au form four wakakimbilia ughaibuni na kuanza kujichanganya kwa kuiga kiingereza cha Wamarekani hasa weusi. Unakuta mtu hata sentensi ya kiingereza ngumu kuiumba......Fuatilia nyendo zake na profile yake utakuja gundua hilo kuwa ni form four au six na tena shule bomu za Bongo.