Je katiba iliyopo pamoja na viraka vyake mbona serikali ya jk haiifuati? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je katiba iliyopo pamoja na viraka vyake mbona serikali ya jk haiifuati?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Maarifa, Jan 21, 2011.

 1. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Kutokana ma mtafuruku wa Dowans- Waziri Ngereja amabaye ni waziri mhimili alitamka kuwa serikali imeamua kulipa Deni. Kwa tafsiri ni kuwa baraza la mawaziri chini ya mkulu walisharidhia. Halafu Akaja Samuel Sitta na Mwakyembe, Good enough ni wanasheria hao. Wakasema hadharani kinyume. Ina maana walivunja kitu inaitwa 'Collective responsibility' Mie nilikuwa nategea aidha wajiuzulu wenyewe ama walazimishwe kujiuzulu! Lakini Kimya!!! from both sides. Mkulu anahofia kuwaambia wamachi out!! nao wamemtega! haya majamaa ni vipanga, maana wanajua mkulu hana ubavu saa hii kuwaambia wamachi out. Mhh!! je Rais bado anadhani analinda katiba aliyoapa kuwa atailinda?? Usanii. Na a mekaa kimya!! je mbona wanaharakati hawatamka hilo? inaonekana serikali imeshindwa kazi! AU MNASEMAJE GREAT THINKERS!! Nawasilisha. Tulivalie njuga ili tuone mwisho wake. Maana hawa majamaa wanatukoroga. Bado nchi inawatawalika kidemokrasia?
   
Loading...