Jitahidi unapo leta mada na unapotaka watu wachangie usiingize ushabiki otherwise ungetoa maoni tu na sio kutaka mitazamo ya watu wengine be neutral if you want to hear both sides otherwise you're guilty.Salaam Wana jf5
Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine Kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani especially Baada ya kuanzishwa Kwa Africa super league
Swali
Je kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa
.....Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa super league....lkn hakuna point hata moja aliyovuna ( alikuwa msindikizaji
Yanga Kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania tuzo ya timu Bora Africa Al ahly mamelodi, wydad USM Alger na Yanga
NB: nani anafaa kukaa meza Moja na hawa vibopa wa soka.....kati ya simba na yangaView attachment 2817743
AahaaaaSalaam Wana JF5
Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani, especially Baada ya kuanzishwa kwa Africa Super League.
Je, kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa? Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa Super League, lakini hakuna point hata moja aliyovuna (alikuwa msindikizaji).
Yanga kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania Tuzo ya Timu Bora Africa; Al Ahly, Mamelodi, Wydad, USM Alger na Yanga.
NB: Kati ya Simba na Yanga nani anafaa kukaa meza moja na hawa vibopa wa soka?
Jibu linaenda jangwaniAngalia hii utakuwa umepata majibu
View attachment 2817749
KUBWA JINGAYoung Africans ni team kubwa
Baada ya kutoa ushauri, utoe maoni yako sasa!Jitahidi unapo leta mada na unapotaka watu wachangie usiingize ushabiki otherwise ungetoa maoni tu na sio kutaka mitazamo ya watu wengine be neutral if you want to hear both sides otherwise you're guilty.
Tusubirie mechi ya al ahly kwanza natunza comment yangu.Baada ya kutoa ushauri, utoe maoni yako sasa!
Binafsi naamini Yangandiye anayestahili.
Na wewe je?
Na yeye atakipitia tu kile kikombe mlichopitia nyinyi. Maana hakuna namna nyingine.Tusubirie mechi ya al ahly kwanza natunza comment yangu.
Hivi wewe unajua mpira kweli? Eti simba hukuvuna point hata moja, nitajie timu iliyovuna points kwenyeyale mashindanoSalaam Wana JF5