Kanisa Gani hilo Tanzania? Sidhani kama lipo.Nimeangalia kwa mapana kuna makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja...HII INAWEZEKANAJE??,,KANISA??
Basi tunatofautiana mimi ukisema Kanisa najua unazungumzia KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME kumbe unamaanisha makanisa.Nimeangalia kwa mapana kuna makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja...HII INAWEZEKANAJE??,,KANISA??
Hiyo ilikuwa ni kauli ya papa sio ya Kanisa.
Hiyo ilikuwa kauli ya papa sio kanisa. Kanisa linapinga ushoga, shida mnachukua kauli ya mtu Mmoja kujifanya ndio ya kanisa.Ndiyo mambo kama haya..inawezekanaje???KANISA???
Na kwenye Biblia hukumu yake ni KIFO.
Papa ni kiongozi wa Kanisa na neno lake ni amri au ni sheria,kuna mtu alipinga hiyo amri ya Papa?Hiyo ilikuwa ni kauli ya papa sio ya Kanisa.
hilo sio Kanisa. Kanisa ni watu watakatifuNimeangalia kwa mapana kuna makanisa yanafungisha ndoa za jinsia moja...HII INAWEZEKANAJE??,,KANISA??
JKKKKT inatakiwanimuondoe yule Mbogamboga kwa jina la Mbalasusa ili lijitengeneze upya.Kuna mambo nayaangalia kwa kina na kwa uelekeo kuhusu kanisa kwa ujumla napata ukakasi.
Kanisa limekuwa kama kijiwe na kijiwe kimekuwa kanisa.
Inawezekanaje kanisa linashindwa kukemea ushoga lakini dudubaya anaweza?
Au ndiyo maandiko yanatimia kwamba mawe yatasema??
Hivi Bwana Yesu ni dhehebu gani?
Na ghafla akirudi unadhani kuna kanisa lolote litakuwa na UJASIRI wa kumkaribisha?..kiukweli atapindua meza kwa mara ingine..manake yanayoendelea...daaaah..
HII NI KWA KIFUPI...NGOJA NIMALIZANE NA HUYU MAMA MUUZA SAMAKI...... NITARUDI,,...NAONA LEO ANANITINGISHIA MAKALIO.