Je, kama sina kazi kweli nisichague kazi?

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
He he heeee piga kazi mtoto wakiume maisha magumu usichague kazi?:mad::mad::mad::mad:

I hate this saying kila ninapoisikia
Unajua kwanini?
Ukweli uko hapa kwa jinsi ninavyo elewa
Zamani nakumbuka kulikuwa na somo linaitwa maarifa ya nyumbani kupitia hili somo watu walijifunza ukifika nyumbani hakuna chakula nini unapaswa kufanya. Baba na mama hawapo namna gani ubakie na wadogo zako na ndugu zako, kwa ufupi mtu ulikuwa unapata maarifa makubwa sana ambayo kwa siku hizi basi vijana wanayakosa haswaaaa!

Sasa na kuchagua kazi inahusiana vipi?:eek:
Kwanza jua haya muhimu
→malengo yako binafsi
Nini umekipanga kukifanya katika maisha yako? Ama umeplani uje kuishi vipiii? Nini maisha yako ya mbele?
Ukisha jua tu na upo katika hali ngumu naamini sasa utapigana kufa kupona upambane kufikia malengo yako na hapa ndio unakuta wengi wanasema kama hauna kazi usichague kazi

→mda wa kufikia malengo yako
Sasa sebene linaanzia hapa na ndio pananifanya niseme hivi kama hauna kazi haina maana usichague kazi no kazi lazima uchague tu kwanini/
Lets assume malengo yako ilikuwa mwezi wa sita mwaka huu unataka kuoa, sasa katika usemi wa usichague kazi kama hauna kazi unajikuta kazi yako unauza maji tena ya kandoro je mda wako wa malengo na kazi uliyonayo utafika?
Ukiona unafika basi wewe piga kazi lakini ukiona haufiki bora ukaachana napo,
Kuna faida gani kuitwa mchapa kazi wakati hata kula tu kazi yako haikutoshelezi?

Bora urudi kijijini ukalime tyuuu maana kwa mjini hapa hata wanawake hel tupu utaishia kujiunga na panya road.

Kama kazi haikufikishi pale unapotaka we chagua kazi sio unafanya kazi wakati haina kazi katika kukufikisha pale uendapo.

He he he h he he tchaooo!! Kijana huru mieeee:p:p:p:d:d:d:d:d:d
 
Back
Top Bottom