Je kama ni wewe ungemshauri nini,

Vipi kuhusiana na mawasiliano yanayoendelea chini chini maana huyo baba mtoto katoka mkoani mpaka dar kaja kuonana na mzazi mwenzie hatujui lililoendelea ila kwa nini mwanamke anafanya siri? kwanini mwanamke asimueleze mume wake kuwa anawasiliana na baba wa mtoto kwa sabab ya mtoto ili hata majukumu ya kusomesha yahamie kwa muhusika....?.
 
na ndo hicho kinachomsumbua jamaa mkuu,
 
na ndo hicho kinachomsumbua jamaa mkuu,
Aisee mimi nilisha apa siji kuoa mwanamke aliyezaa changamoto ni kubwa mno na ninavyojijua hata ikitokea sitaweza kuishi naye labda aliyezaa naye awe hayuko dunian yaani awe amekufa
 
siungi mkono unyanyasaji wa wanawake kwenye ndoa ila huyo mama anastahili kupigwa MAKOFI kadhaa kabla hajaanza kunyoosha maelezo....
Hakunaga UONGO mdogo....UONGO ni UONGO tu...
HAHAHAHAH
 

rudi kwenye mada mkuu.
kakurupuka...
 
.

Mwenzenu ndo maana nasita kuzaa manake kuna mazingira kumlea mtoto ni kumtesa.[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…