Je, Jumatatu ni Siku ya Mapumziko?

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,266
Mara nyingi kumekuwa na utata wa siku za mapumziko kwa sherehe za kidini zinazofanyika mwishoni mwa week, yaani jumamosi na jumapili. Ikiwa leo jumapili ni sherehe ya dini ya kiislam, yaani Eid al-Hajj; je, kesho jumatatu itakuwa ni mapumziko kwa watumishi wa serikali? Hivi kuna miongozo yoyote ihusianayo na sherehe?
 
Mimi pia nimesikia tetesi hizi,wajuao watujuze!
 
subiri kikwete na shein washauriane. mpaka jioni itajulikana!
 
Mmh halafu nchi iendelee wakati mnawaza off? Kesho ni mzigoni
 
Hizi sikukuu zisizo na tarehe wala pobox number ni sheda tupu
 
Which is which. Tupeni jibu jamani sijui itakuaje ndo nimesha jipa ngano ya kutosha najua kesho full kulala naombeni jibu sahihi jamani
 
Nimekopi sehemu
 
Piga pasi kabisa kesho uende kazini, umeme hauaminiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…