Wiki mbili zilizopita waziri mkuu alikutana na bodi mpya ya mishahara na moja kati ya mambo ambayo bodi inayafanyia kazi ni mashirika na taasisi za umma kujipangia mishahara hali iliyopelekea kuwa na tofauti kubwa ya mishahara kati ya mashirika na watumishi wengine wa umma hasa TAMISEMI. Mfano muhasibu wa halmashauri analipwa 7k wakati huo huo muhasibu wa tasisi X anakunja 2mill na wote wana elimu sawa na umri sawa kazini.
Bodi hii imeagizwa akashughulike na tatizo ili ilete usawa kwa watu wa kada moja.
Maswali ninayojiuliza
1. Je kuna watu watapunguzwa mishahara au kuna wengine wataongezwa ?
2. Je serikali ina uwezo wa kulipa watumishi wote kwa mishahara ya mashirika ?
3. Hii tume itafanikiwa au ni siasa tu kisha ripoti iwekwe kabatini.