Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

Mzee Israel co wakristo! Nenda wikipidia cheki dini zilizopo Israel
1 Judaism
2 Islamic
Ndoo zinafuata taka nyingine.... Kwa kifupi wale ni ndugu wanapigana. And that is civil war

Hawana undugu wowote, wale ni makafiri na Wapalestina ni waislamu. So hawawezi kuwa ndugu, laanatullah alayhim
 
Israel walilenga kulipua kinu cha nuclear Isfahan ila walifeli.
Iraq hakuna kambi za Iran bali kuna kambi za wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran,ni sawa ulipue kambi za Hizbollah Lebanon.
Syria kambi zilizopigwa ni za Al Quds fighters wanaosapotiwa na Iran sio za Iran.
Angekua kaguswa Iran pasingekalika kimya.
Shambulio la Israel drone 3 na kombora moja vimedunguliwa utasemaje havikuonekana!?
Walichodai Iran hawakujua wapi shambulio linatoka ila interception wamefanya.
 
Vipi Putin nae kashindwa maana miaka inayeyuka sasa au mnasemaje watumwa?
Unajitoa ufahamu kuwa Ukraine anasaidiwa na NATO kifedha,kisilaha na kijeshi!?
Au ushasahau kuwa Russia anapigana na NATO pale Ukraine!?
 
sio rahisi kulenga kulipua kitu cha nukes ndugu, ukilipua madhara yake ni makubwa sana kwa binadamu na marekani alishasema israel asifanye hivyo. yote katika yote wanajuana wao wenyewe.
 
sio rahisi kulenga kulipua kitu cha nukes ndugu, ukilipua madhara yake ni makubwa sana kwa binadamu na marekani alishasema israel asifanye hivyo. yote katika yote wanajuana wao wenyewe.
Kwani Israel ana hasara gani Iran wakiathirika na mionzi ya nuclear?
Kwani USA alipata hasara gani Japan walivyoathiriwa na nuke!?
Israel tishio lake kubwa ni Iran kumiliki nukes.
Ndio maana miaka nenda rudi amekua akihujumu vinu vya nuke vya Iran.
 
Kwani Israel ana hasara gani Iran wakiathirika na mionzi ya nuclear?
Kwani USA alipata hasara gani Japan walivyoathiriwa na nuke!?
Israel tishio lake kubwa ni Iran kumiliki nukes.
Ndio maana miaka nenda rudi amekua akihujumu vinu vya nuke vya Iran.
issue ya mionzi ya nuklia ni issue ya dunia, kamuuliza marekeni anajilaumu hadi leo mionzi aliyosababisha hiroshima na nagasaki, wanaoumia ni raia wa kawaida, wala sio wanajeshi. umakini mkuba sana unahitajika kulipua kinu hicho ili kisilete madhara kwa raia ukahukumiwa na dunia nzima.
 
Una uhakika USA anajuta!?
Kama USA anajuta kwanini Marshall islands USA inafanya majaribio ya nukes na biological weapons!?
Je Marshall island sio watu!?
 
Major hapo Israel imeonyesha mfano na wenye uelewa wameelewa. Iran imerusha makombora na drones 330 hivi, madhara yaliyoonekana ni madogo sawa na hamna. Mechi zilichezwa viwanjani, ndege ziliruka kwenye airports, kazi ziliendelea maofisini na viwandani.

Waisraeli wakafanya advertisement ya uwezo wao. Wakaweka air corridor Syria (kwa kulazimisha sio kwa kuomba). Wakaenda Iraq wakapenya anga, wakafika mpakani wakaachia air launched ballistic missiles zikaenda deep into Iranian territory na kushambulia air defense system asset ya kinu cha nyuklia na kufanya damage. Hilo ni tangazo kwamba uwezo tunao msitujaribu.

Kwenye hatua za kushambulia vinu vya kinyuklia, Iran na Israel zinajua hatua ya kwanza ni kushambulia air defense systems zake. Then ndio sites zishambuliwe, Israel imefanya hivyo bila kujulikana wameona matokeo tu.
 
Umeamua tu kuonyesha mahaba ila ile shughuli haikuwa ya kitoto .hata usa analijua hilo ni sawa na mtu kupapsa makalion mke wako licha ya ulinzi uliojiwekee. Haya mabomu yalipenya defence ngapi ndo yakafika huko
 
Umeamua tu kuonyesha mahaba ila ile shughuli haikuwa ya kitoto .hata usa analijua hilo ni sawa na mtu kupapsa makalion mke wako licha ya ulinzi uliojiwekee. Haya mabomu yalipenya defence ngapi ndo yakafika hu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…