K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,729 Reaction score 15,386 Jul 22, 2023 #1 serikali ya China imechukuwa sehemu kubwa ya gazeti hili na kuweka agenda zao za kupamba nchi yao. Je kuna uhusiano gani na gazeti hili? Wamenunua kinyemela? Je wanatumika ? IPPMEDIA Group of Companies www.ippmedia.com
serikali ya China imechukuwa sehemu kubwa ya gazeti hili na kuweka agenda zao za kupamba nchi yao. Je kuna uhusiano gani na gazeti hili? Wamenunua kinyemela? Je wanatumika ? IPPMEDIA Group of Companies www.ippmedia.com
Tape measure JF-Expert Member Joined Nov 26, 2015 Posts 1,990 Reaction score 3,700 Jul 22, 2023 #2 Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,764 Reaction score 22,695 Jul 22, 2023 #3 Tape measure said: Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu Click to expand... cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu Fungua codes hizo mkuu, Nimepita ''kapa''
Tape measure said: Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu Click to expand... cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu Fungua codes hizo mkuu, Nimepita ''kapa''