Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Mkuu Ab, I don get it.
If they didn't need the monies from auctioning the vehicles, they could have let the 'wananchis' get (scramble for) the cars for free...at least instead of incurring the crashing costs.
May be something is missing in the story, that they are 'recycling' the cars rather...or the conditions of the cars don get past the Kenya's environmental standards for used cars (if they have any).
Unakumbuka wakati ulee...walichoma pembe za ndovu?
Mimi nadhani inasaidia kupunguza rushwa miongoni mwa maafisa wa kodi kwa vile tabia hii ya kuuza magari ambayo hayakugombolewa bandarini imewafanya maofisa wa kodi Tanzania kuwa wanakadiria kodi kubwa sana kwa magari wanayopenda kusudi wenyewe ashindwe kuyalipia kodi halafu maofisa hao wayanunue wao kwa njia ya mnada.
Roya Roy,
acha nikupe masikitiko ya hii ishu.
Haya magari yanayobamizwa yalikua Bandarini tangu niko Kenya sijakula safari.Watu (locals) tukawa tunasema magari yatiwe mnadani watu wafaidi lakini serikali ya Moi haikuona kama ni ishu poa maana hawangepata posho..it was strictly meant to benefit wananchi.
Sasa tunaona baada ya 10yrs of these cars languishing at the port, kaja mtu na akili punguwani akaamuru magari yabondwe into pieces.Ujinga ni kwamba the people have lost and the govt has incurred expenses instead of monies...kweli wajinga ndio waliwao.
Afu pia mkuu, asikudanganye mtu Kenya kuna "environmental standards" when it comes to cars and such...magari yanafuka moshi utadhani yanatumia kuni ku-run their engines.
P.S. Ishu ya pembe za ndovu ni mjadala wa wakati mwengine.Word is that pembe za kikweli zilikula kona naswi tukazubaa kwenye TV huku jamaa wanachoma plastiki!
Ab,
Is there anything positive you can talk about your country??
P.S. Ishu ya pembe za ndovu ni mjadala wa wakati mwengine.Word is that pembe za kikweli zilikula kona naswi tukazubaa kwenye TV huku jamaa wanachoma plastiki!
Ab,
Is there anything positive you can talk about your country??
Really? At least that was 'brilliant', but those aren't plastic cars.
Kama hamna unataka adanganye?
Interesting to see, hawa wote walishindwa kulipia gharama za kuondosha magari bandarini?
Frankly speaking, gharama za Tz ziko juu sana kutoa gari bandarini. Almost 95% of CIF price for the 1999-2003 cars! Ni gari la 2006 tu ambalo nilikuwa charged 65% ya CIF price
Ninavoona mimi hii idea ni poa sana. Kwanza wata ya crush haya magari halafu wayauze kama scrape. Kwa hiyo port itapata angalau hela kidogo ku offset gharama ya storage.
secondly sheria za kuiport magari kenya zimebalika.
Kwanza huwezi ku iport gari older than miaka minane
Pili gari lenyewe haliwezi kuwa left hand drive, isipokuwa kwa special purpose kama ambulance n.k
Halafu pia ninavyo elewa mafuta wamebadili kuanza kutumia unleaded kupunguza polutio, kwa hiyo magari yatakayo letwa sasa lazima yawe na catalytic converter.
Sheria hizi zililetwa baada ya serikali ya moi, kwa hiyo magari yote ambayo bado yalikuwa hayajakuwa cleared na haya comply nazo hayawezi kukubaliwa kuingia kenya kwa hiyo KPA hiwezi kuya auction ila tu kuyauza kama scrape metal ndo maana wana ya crush.