PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 721
- 2,228
Cheki hapa [emoji116] kisha toa ushauriInategemea na model, refurb nyingi zina locked bootloader.
Tuendelee mkuu Chief-MkwawaCheki hapa [emoji116] kisha toa ushauri
Naona kuna bootloader hapoView attachment 2208293View attachment 2208294View attachment 2208295
Tafadhali nieleweshe huo utaalam mkuu, ni jambo jipya kwangu. Kwa hyo nizime simu kisha nitumie pc au simu nyingine? Au una maana ipi mkuu Chief-MkwawaKama ni 950F hio ni international version, sema siku hizi usiangalie model hali ya kuwa simu ipo on,
Zima simu ingia download mode kuona model halisi.
Pitia hapaTafadhali nieleweshe huo utaalam mkuu, ni jambo jipya kwangu. Kwa hyo nizime simu kisha nitumie pc au simu nyingine? Au una maana ipi mkuu Chief-Mkwawa
Ahsante sana mkuu. Nimepitia, nikiwa karibu na pc nitaingia huko.Pitia hapa
Download Mode | SAMSUNG Galaxy Note8
Learn how to activate the Download Mode and enter the menu, where you will get access to the Download Mode tools which will solve your problems and tasks.www.hardreset.info
Ukiwa download mode utaona model kwa juu kumeandikwa product name
Inawezekana mkuu, ila process zake utaziweza? Kuna kuunlock bootloader, kuweka custom recovery, process zengne zinahitaji utumie fastboot hizo process sio za kufanya mtu ambaye sio mtundu kwenye simu. Hapo itabidi pia uwe na official Rom (na hii official rom itabd uwe na binary Inayoendana na simu yako, la sivyo utatumia kiswaswadu kwa muda) incase mambo yameenda mrema. Kuliko kuhangaika ni bora uridhike tu na 9 Pie yakoAhsante sana mkuu. Nimepitia, nikiwa karibu na pc nitaingia huko.
But assume ni 950F je naweza weka android 12?
Ahsante kwa tahadhali mkuu, naamini kama ni salama nitaweza. Lakini vipi hakuna hasara zozote pamoja na kwamba nitafanikisha vyema kuweka?? Call m3 AnwarInawezekana mkuu, ila process zake utaziweza? Kuna kuunlock bootloader, kuweka custom recovery, process zengne zinahitaji utumie fastboot hizo process sio za kufanya mtu ambaye sio mtundu kwenye simu. Hapo itabidi pia uwe na official Rom (na hii official rom itabd uwe na binary Inayoendana na simu yako, la sivyo utatumia kiswaswadu kwa muda) incase mambo yameenda mrema. Kuliko kuhangaika ni bora uridhike tu na 9 Pie yako
Kweli nilijikuta natumia kiswaswaduInawezekana mkuu, ila process zake utaziweza? Kuna kuunlock bootloader, kuweka custom recovery, process zengne zinahitaji utumie fastboot hizo process sio za kufanya mtu ambaye sio mtundu kwenye simu. Hapo itabidi pia uwe na official Rom (na hii official rom itabd uwe na binary Inayoendana na simu yako, la sivyo utatumia kiswaswadu kwa muda) incase mambo yameenda mrema. Kuliko kuhangaika ni bora uridhike tu na 9 Pie yako
😂Kweli nilijikuta natumia kiswaswadu
Hahaha hatariKweli nilijikuta natumia kiswaswadu
Kweli nilijikuta natumia kiswaswadu