Je inawezekana ACT kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Msajili halafu wakaweka zuio la Uchaguzi hadi kesi ya msingi iishe?

Je inawezekana ACT kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya Msajili halafu wakaweka zuio la Uchaguzi hadi kesi ya msingi iishe?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
804
Reaction score
2,059
Je Mahakama inaweza kutoa uamuzi kama ule ilioutoa dhidi ya Chadema wa kuzuia matumizi ya mali za chama?

Je Msajili nae anaweza kumuengua Mgombea wa CCM kujibu barua ya pingamizi iliyoandikwa na kada wa CCM?
 
ACT Wazalendo ni ya CCM na mahakama ni ya CCM
 
Tume haishitakiwi wala kuhoniwa na chombo chochote na kazi ama mamuzi ya tume hayahojiwi wala kushitkiwa na chombo chochote.

Uchaguzi ni moja ya kazi ya tume
 
AAAaaaIIIiiSSsssEEeeee!

Mbona umewawekea matumaini makubwa kiasi hicho!

Dah!
Niwe mkweli, nami ningetamani hayo yawe; lakini hayawezi kuwa hivyo

Kwanza si watawaambia mahakama waachane na kesi na Luhaga aendelee na kupoteza muda wake kwenye Kampeni; kwani wanapoteza kitu gani?
Kikawaida Luhaga angemshinda Samia kwenye sanduku la kura halisi; lakini Samia angeibuka tu mshindi. Sasa shida iko wapi hasa!
 
Waende tu waone kesi itakavyo pigwa dana dana na kuahirishwa kwingi mpaka wakishinda uchaguzi utakua umepita.
ACT tuliwaambia msishiriki uchaguzi, wakasema watalinda kura. Haya sasa hata mgombea wameshindwa kumlinda.
Mzoefu akikuambia usitembee na mwanaume/mwanamke fulani ana ukimwi, jaribu kumuelewa.
 
Hii ndio maana halisi ya "Tutakinukisha"... kwa tafsiri isiyo rasmi

Back
Top Bottom