Je ilishawahi kutokea kwako?

Kwangu mie ilishatokeaga nilipokua skull nlikuaga nanunuliwa soda chauro na mengine mengi sana sema nlikuaga sijajitambuaga so washikaji wakanitonyaga kwamba dem alikuaga amenikubalii sana .....mimi mwenyew hakuwa kanikaaa kivileee hiyo ni kwa kifupi
 
Kawaida mkuu usiombe dem akubananishe😃😃
 

Ndugu yangu wanawake na wanaume wote ni BINAADAMU katika sayansi hawa wapo katika kingdom animalia na wanashare tabia sawa kwakua ni wanaadamu.kama jinsi ulivyo na hisia ndivyo nao walivyo lakini katika nchi zetu za kiafrica tumeweka mbele tamaduni na mia ambazo mwanamke anaonekana kukandamizwa nazo hivyo hata kama anahisia ni ngumu kueleza kwa mwanaume.lakini itoshe kukuambia jambo hili si la ajabu maana nao wanamihemko na ubongo kama wako ambao hisia huwafikia kwahiyo si kwamba mwanamke akikutongoza ni malaya lakhasha badala yake uheshimu kama wewe ukitongoza utakavyopenda hisia zako ziheshimiwe.
asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…