Je, ilishawahi kukutokea hii kitu au ni mimi tu?

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Habari za wakati huu member wa JF

Hili tatizo limenitokea mara ya pili..kwa mara ya kwanza nilikutana na bidada nlimpiga show ka dk 8 akadai anaumia tubadl style mara tupumzike, sikumskiliza ila nlivyoona anaendlea kulalamika kabdi nimsikilize ila ajabu wakati natoa duduke..damu kwa wingi ikashuka ktoka kweny k.. nkamuliza vipi kwani ulkua p akadai hapana na haelewi tatizo ni nini. Sikuweza kuendlea tena coz hisia zlikata kabidi kuelkea hospt kupima coz sikutumia kinga akukutwa hana maambukizi zaidi alipewa maelezo ambayo yalihusu tatzo lake

Huyu wa pili nlipiga show but alivyoenda kukojoa damu ikashuka nimeuliza vipi siku za p zlikua zmekarbia akakataa na leo yupo vzur

Je, hii hali ishawahi kukutokea?na je husababishwa na nini?

Asanteni.

Screenshot_20201220-125627.jpg
 
Basi utakuwa huwaungi na nyanya,vitunguu,carrot,pilipili,chumvi na limao mkuu
Hiv wee huwa unawazaga nn kwan? tobaaaaaah weeee lol.
Wallah nimecheka hadi aliye karibu yangu, ana nambia soon ntakua chizi khaaaah.
 
Hiv wee huwa unawazaga nn kwan? tobaaaaaah weeee lol.
Wallah nimecheka hadi aliye karibu yangu, ana nambia soon ntakua chizi khaaaah.
Huku ndiko sehemu ambako naweza kupotezea stress dear..wakati mwingine tusiwe na majibu siriazi saaaaanaaa si unajua eee😅😅😅eee..basi tu mradi kuchafua hali ya hewa
 
Nimewah kujikuta ktk dhahama hiyo damu zilimtoka bidada huyo sitosahau na sikurudia tena hadi kesho.
 
Back
Top Bottom