Je, ICLAP ni nini?

Sasha7

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2014
Posts
233
Reaction score
56
Habari zenu, samahani nilituma email sehem ya maombi ya kazi sasa wamenijibu kua nimepata ila wanaomba niwatumie INTERNATIONAL CERTIFIED LOGIC ASSESSMENT AND PSYCHOMETRIC (ICLAP) Je nini hiyo?
Nilivyoona iyo (ICLAP) nikawatumia miongoni mwa cheti changu kimoja cha kimataifa nilichokipata kwenye mafunzo flani, wakasisitiza kua hawataki icho wanahitaji iyo ICLAP kwa anae faham please anifahamishe,muhimu sana.

Elimu haina mwisho na kuuliza sio Ujinga.
 
Home of Great Thinkers mbona kimya?????
 
Mkuu wengi humu ni wabeba box....

Jaribu kugoogle unaweza kupata msaada pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…