Je, huyu ni nyoka aina gani?

Ni kweli kabisa inasemwa huyu ndo ana sumu kuliko nyoka wote yaani ye huongoza wengine wanafuata
Huyo ni Gartersnake hana sumu kabisa ila ana meno kwa ajili ya kula wanyama wadogo kama panya
Anauma ila hana sumu kabisa
Kumjua non poisonous angalia kichwa mkia na hata macho pia kama mboni ni duara hana madhara
Nawapenda sana nyoka ila ni mmoja tu ambae hata kumsikia sitaki
 
Mkuu unaweza kuwa umechanganya huyo nyoka ana sumu,nyoka yupi hutaki hata kumsikia Koboko au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nakupa vizuri sana yaani nimefungua huu uzi sijui nitalalaje
Kumbe nikivizia kwa rum na cobra unanipa papuchi kiurahisi.
 
Huyo nyoka hana sumu na wala hana madhara kikubwa anakusaidia kupunguza wadudu sumbufu kama Mende, mjusi chura nk.
 
Huyu nyoka usukumani utamkuta juu kwenye nyasi za nyumba, hafukuzwi na hana madhara yoyote kwa binaadamu, wao wanamwita "Ka Pambe" kwa ujumla anasaidia kupunguza wadudu ndani ya nyumba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nakupa vizuri sana yaani nimefungua huu uzi sijui nitalalaje
[emoji116][emoji116]Mara naingia hawa wadudu, vua fasta uliwe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
Mkuu unaweza kuwa umechanganya huyo nyoka ana sumu,nyoka yupi hutaki hata kumsikia Koboko au?
Mimi namuona kafanana na huyu katika picha yangu chini
Kuhusu huyo nisie taka kumsikia ni huyo huyo Black mamba aka Koboko
Nyoka gani mpaka maiti anang'ata ni jini sio kiumbe huyo
 
Hawa nimewaona wengi sana huku shambani,wana kama miguu hivi. Wanakimbia vibaya mno.
 
Kila mtu mtaalam huku anakuja na lake
Haya Nami nakwambia huyo ndo kibisa kma unasikiaga nyoka Wa kibisa bas ndo huto
 
Mimi namuona kafanana na huyu katika picha yangu chini
Kuhusu huyo nisie taka kumsikia ni huyo huyo Black mamba aka Koboko
Nyoka gani mpaka maiti anang'ata ni jini sio kiumbe huyo
Huyu ni tofauti sana aisee
[emoji23] [emoji23] Koboko ni noma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…