Satoshi Nakamoto
Senior Member
- May 28, 2017
- 110
- 466
View attachment 861488
Hawa ni Nyoka wa kundi linalotambulika kitaalamu psammophis,
Rear-fanged and mildly venomous and not considered dangerous to man.
Check tena mkuu! Nime reduce size na ku upload upya!Unamchora nikusubiri?
Si kweli. Kuna viumbe jamii ya binadamu hulazimisha tuwatambue kwa makalio yao.Kichwa ndicho hutambulisha kiumbe chochote kwa urahisi.
ila sio wote wana sumunyoka ni nyoka tu
Dini yangu inaniambia nimponde kichwa!!Mbinguni huendi kakutenda nini kiumbe wa Mungu hadi umemtendea hivyo!!!
Mpige picha kichwa chake, ila huo mwili kuna nyoka mmoja namfananisha naye. Chini ana rangi ya njanoView attachment 861406
Habari wana jamvi, nimemuua huyu nyoka leo karibu na nyumbani kwangu. Kwa wale wataalam wa hawa viumbe, je huyu ni nyoka aina gani? Ni poisonous au non-poisonous?
Tambalio lake (tumbo) ni la rangi ya njano njano!
Ahsanteni