Je huwa ni kweli?

Vijana hawatafuti hela, wanashindana nani mwenye nguvu za kiume../

wanawaza tu usela, kushinda disco na kdnyna ndio fani wamesahau maandiko ya mtume../

na wa hurumia hawa vilaza/wanawaza tu kukaza na hawaogopi kuji tangaza, kweli dunia inashangaza../
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…