Natamani wanaume walio kwenye ndoa walio humu JF waje watoe mawazo yao juu ya ubakaji huu ila nimecheka aiseeeh aahahahahahhaaa looh.
Well maisha yana vituko na vionjo vingi sana kulingana na kila mmoja na jinsi alivyo.
Huyo mke kama ameamua kumwaga mboga anaweza kwenda kufungua kesi mahakamani na sio kwa mwenyekiti wa mtaa na ushahidi wake uwen mkasi, chupi iliyochanwa na shuka. Ikiwezekana kama wana cctv camera chumbani aende nayo, mume atashitakiwa na kuhukumiwa kwa kosa la ubakaji. Kumbuka kubaka hakujasema kama huyu ni mkeo basi una kibali cha kumbaka.
Usione mtu kavaa sarawili yake na tai na koti barabarani ukasema mwanaume si ndo huyu, akiwa faragha ni zaidi ya nyati aahahahahhaa
Usione mwanamke kavaa dera au tite yake ukasema mwanamke si ndo huyu, ukimuweka ndani fulu kununa, kususa, na kubana aahahahahhaa.
Wewe ungempa kistaarabu tu, angemaliza angeshukuru na kuomba msamaha kabisa.
Mambo mengine yamalizieni juu kwa juu siyo mpaka aje akulilie msamaha, yawezekana ameshalia huko kazini kupata pesa za kukimu family, sasa unataka akifika tena home alie kisa msamaha!
Ila kwakuwa ulipenda ligi sasa kukupeleka Bundasliga.
Kuna ubakaji ndani ya ndoa. Ndiyo hapo kabakwa.
Ila kwa nini hakumalizana nae hapo aliporudi nyumbani? Au muda huo wa kujiviringishia shuka kichwani, angetumia kutoa ushirikiano. Baada ya bao moja, anaongea naye mambo yanaisha.
hakuna mtu aliye na amri juu ya mwili wake ila mwenzie maandiko yanasemaNatamani wanaume walio kwenye ndoa walio humu JF waje watoe mawazo yao juu ya ubakaji huu ila nimecheka aiseeeh aahahahahahhaaa looh.