asanteelimu2016
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 248
- 146
Walimu wenyewe ndo wale wa kule mbeya?Nakushauri endelea kuwa na moyo huo huo usimuamini mtu.
Hata ukienda hospitali mwambie daktari akuonyeshe vyeti vyake asije akakuibia.
Ukipeleka mtoto shule wadai walimu wakuoneshe vyeti vyao wasije wakawa hewa.
Na hata ukipanda daladala mwambie dereva akuonyeshe leseni kwanza asije akakuletea ajali.
Walimu wenyewe ndo wale wa kule mbeya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakushauri endelea kuwa na moyo huo huo usimuamini mtu.
Hata ukienda hospitali mwambie daktari akuonyeshe vyeti vyake asije akakuibia.
Ukipeleka mtoto shule wadai walimu wakuoneshe vyeti vyao wasije wakawa hewa.
Na hata ukipanda daladala mwambie dereva akuonyeshe leseni kwanza asije akakuletea ajali.
Lakini hata hao walioajiriwa pia si walikuwa wanafunzi?Hapana wale walikuwa ni wanafunzi wanaosomea shahada ya Ualimu.
Mimi nimezungumzia walimu waliohitimu shahada zao na kuajiriwa.
wewe 2ml ulitoa kwenye ATM ? WEWE LAZIMA UNAHOMA YA AKILI
Utafiti unakuhusuHabari zenu
Mwenzenu huwa najisikia aibu sana lakini ni vile nimewahi kuona rafiki yangu akiwa ameibiwa na kibanda cha tigopesa fulani kama laki mbili hivi wakati alipoenda kutoa milioni mbili, hii ikanifanya niwe makini zaidi.
Ni sawa au ni kutokujua au ni ushamba wa mwendokasi NINAPOTOA FEDHA KWENYE ATM ni lazima nizihesabu?
Nimekuwa nikihesabu fedha kila ninapotoa kwenye mashine za atm kuhakikisha kama zimetimia.
mkuu tutake radhi wasukumaKwani unatokea Mwanza au Shinyanga? Just playing.
Si ushamba, bali ni umakini.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ivi kwa mfano siku ukikuta zimepungua utafanyaje sasaHabari zenu
Mwenzenu huwa najisikia aibu sana lakini ni vile nimewahi kuona rafiki yangu akiwa ameibiwa na kibanda cha tigopesa fulani kama laki mbili hivi wakati alipoenda kutoa milioni mbili, hii ikanifanya niwe makini zaidi.
Ni sawa au ni kutokujua au ni ushamba wa mwendokasi NINAPOTOA FEDHA KWENYE ATM ni lazima nizihesabu?
Nimekuwa nikihesabu fedha kila ninapotoa kwenye mashine za atm kuhakikisha kama zimetimia.
mkuu tutake radhi wasukuma