Je, huo nao ni ushujaa?

Hata usemeje we umekatwa mkia tu
 
Mpendazoe sijui kama una taarifa za 'wakuu kuitisha kikao cha rushwa'. Je huo ni ushujaa? Rushwa ipi unaongelea hapa maana tunaweza kuwa tupo dunia mbili tofauti.

Pili, sharia zinasema wanaotuhumiwa wafikishwe mbele ya sharia kwani ni haki zao kupata hukumu
Kuwaweka mahubusu kwa visasi tu na matumizi mabaya ya madaraka ndio ushujaa unaotueleza?

Mkuu, ukiandika jaribu kujitathmini kwanza, umeshatoa watu mashaka na sasa unaleta mashaka mengine yanayotia wasi wasi kama wanadamu!
 

"Kweli huu sio ushujaa....". Pole
 
kama tunavyoihoji serikali yetu tukufu kugawa milion 10 kwa wabunge wakati wameshindwa kuwapa wanafunzi mikopo
 
ha haaa haaaa taratibu jamani mtamuua huyu mzee! ama kweli watu wameacha utani
 
Nafasi za Uteuzi zimeisha Mkuu. Jaribu kiki nyingine.
Walisahau kwamba ukijiingiza kwenye Siasa alafu ukachemsha yaweza kuwa mwisho wako kama ulikua huna plan "B", umefika wakati sasa mtu kama Mpendazoe aachane na matamko ya Kisiasa maana huko kashuka sana heshima yake, haina tofauti na Mwanamke au Mwanaume aliye achika mara mbili bado akawa anaainisha madhaifu ya Watalaka wake hakuna atakayemuelewa kwamba yeye ni mtu makini, kwasababu kitendo cha kuachika mara mbili its either una tabia mbaya au uliokua nao wao ndo wana tabia mbaya, na hata kama waliokuacha ndo wana tabia mbaya bado itaonyesha wewe ni mkurupukaji how come umeingia kwenye ndoa na vimeo mara mbili?
 
Mp
Mpendazoe kalime hata bustani na mbogamboga inalipa pia,usilazimishe biashara ambazo hazilipi,ukiona ya kulima Bustani haikulipi nenda hata Nigeria au Congo ukatafute hata uchungaji wa ndumba inalipa pia,huko uanakokulazimisha uzeeni utakuja tembea peku,kuongea peke yako barabarani na kuvaa suruali zilizotoboka matakoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…